Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Hii habari imewekwa pia na Eddo Kumwembe ktk ukurasa wake wa Fb...sasa hii habari ya kutazamana kwa makabil inazidi kushamiri sana

Mtazamo hasi. Kabla Katibu mkuu wa wizara ya ardhi Patrick Rutabanzibwa hajastaafu, alikuwa wizara moja na mama Tibaijuka. Mbona Rais Kikwete hajaambiwa kajaza wahaya? Acha wapige kazi!
 
Ofisi ikiongozwa na mhaya suala la ukabila huwa la kawaida,Sana na hapo tegemeeni hadi Stars kujaa kina Rugakingira.
 
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
Mleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!
TFF.pngTFF 2.pngTFF 3.png
Ficha upumbavu wako!
 
Naona kama ni mapema mno kuhoji ukabila,tungengoja tuone utendaji ndipo tuje tufanye correllation ya ukabila vs perfomance!.
 
Nimekuwa na mashaka makubwa sana na mwenendo wa Taifa letu hasa suala la ukabila linaanza kushika mizizi kwenye sekta zote ni hatari sana, pia busara zitumike na hekima itafika mahali makabila madogo tena yasiyo na wasomi yakapoteza uhalali na umiliki wa taasisi mbalimbali.tujichunguze sana
 
hahahahahahah ngoja slaa awe rais na mkewe awe first lady uone kazi pale ikulu.
 
haaaaaaaaaaa,,,,,,,malinzi,,,,,,nyegera muno,,,,,,,,:israel:,,,,,
 
ukabila bado ni tatizo sijui alitumia vigezo gani kama alitumia pwc au kpmg sina tatizo naye ndio hapo unaingia tff unasikia watu wanaongea kilugha
 
Nchi hii ni ya makabila yote takribani mia na ishirini na kitu,pia serikali kupitia taasisi zake itoe elimu watu wachache waache uhuni na kujidai kuangalia kigezo cha elimu. hatupendi kuamini sana vigezo hivyo bila kuwepo uzalendo.hata hii taasisi ya michezo ijichunguze mwenendo wake
Nawatakia kila laheri tz ni yetu sote
 
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya

Mkuu nakubaliana na wewe kuwa haya makabila makubwa matatu, wahaya,wachaga na wanyakyusa wakiwa mabosi wafanyakazi wengi ofisini wanakuwa wa kabila moja. Naweza kusema jamal malinzi ameanza vibaya sana uongozi wake. Ukionekana unafanya uteuzi kikabila mafanikio yanakuwa madogo.
Nafasi ya katibu mkuu wamechukuwa mtu ambaye ana sifa ndogo kuliko waombaji wengine. Mwesiga ana degree moja tena ya international relation wameamuacha mtu kama henry tandau ambaye ana masters ya michezo na uzoefu kibao.
Binafsi sitaki kuamini kwamba watanzania wengine hawana sifa za kuwa viongozi tff. Time will tell
 
Wahaya ni wakabila sanaaaa.ndo mana haitakaa itokee tupate rais mhaya coz ikuly itajaa nshomile wazari nshomile wabunge nshomile mwisho wahamishie ikulu kwao kaishozi
Wewe unaongelewa au ni wewe unayeongea??

even if Mkuu, lakini sio fair kabisa, alitakiwa kumix tu ili kuondoa dhana za upendeleo
Mkuu mleta mada mpuuzi nimeweka report ya vyombo vya habari muhaya ni katibu!Mwesigwa Mtawala ni muhaya?mwenyekiti wa uchaguzi ni msukuma mwambie aliyeleta mada aweke majina bahati nzuri ni meweka copy!

Uzuri na yeye ni member wa JF atajibu tu hizi tuhuma.
Anaweza akaipotezea kwani awajibiki JF yeye kama Rais kuna information officer wa TFF anaweza kuja kukanusha!

Swali: nafasi hizi anafanya uteuzi nani....rais wa TFF au kamati tendaji?

Kama ni rais na amejaza watu wa kutoka sehemu moja basi hayuko makini na hilo ni tatizo. Kama ni kamati tendaji sioni tatizo lolote ingawa questions will linger over the wisdom of the kamati tendaji.

Controversy!
Mimi nadhani watu kabla ya kujibu wawe na mashiko kwani kila kitu kimetolewa kwenye magazeti!

Mleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!
View attachment 128704View attachment 128705View attachment 128706
Ficha upumbavu wako!
Someni press release

Nimekuwa na mashaka makubwa sana na mwenendo wa Taifa letu hasa suala la ukabila linaanza kushika mizizi kwenye sekta zote ni hatari sana, pia busara zitumike na hekima itafika mahali makabila madogo tena yasiyo na wasomi yakapoteza uhalali na umiliki wa taasisi mbalimbali.tujichunguze sana
Nikweli sana siyo ukabila tu hata udini mfano NSSF,TRA,Haya ni baadhi tu!
 
mkuu wa jamiiforum ni mhaya
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
 
Back
Top Bottom