Hizi nafasi zilitangazwa lini?usaili ulifanywa lini?,mhhh bwengas bwana kwa ukabila mnakela.
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
wamejichagua???Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Inawzekana kweli mimi ni mkabila na -------- mkuu wangu...Mleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!
View attachment 128704View attachment 128705View attachment 128706
Ficha upumbavu wako!
Mkuu kama wewe ni Muhaya naomba uniwie radhi maana looks like nimekukwaza..Njooni mjiridhishe hapa msiwe mnapayuka!Secretariat
TZ ni nchi ya kitu kidogo, kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mkuu kama wewe ni Muhaya
naomba uniwie radhi maana looks like nimekukwaza..
Lengo langu si kuwaponda wahaya ama kupinga uhaya wa Malinzi ndani ya
TFF...
Mimi nimemuomba/nimemshauri Malinzi atolee ufafanuzi suala la ukabila
ndani ya TFF kabla sumu hii ya ukabila haijaenea(soma heading)..Hii ni
sumu inayoenezwa na Edo Kumwembe na wenzake (ambaye nimemnukuu hapa)
ambayo ikienea itakuwa na madhara makubwa sana kwenye soka la Tanzania
ambalo lipo ICU..
Si vibaya pia ukamshauri Malinzi akalitolea ufafanuzi suala hili ambalo
asipoangalia litamsumbua sana..
eddo yuko sahihi kabisa.....Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
naona mods wameunganisha
thread yangu yenye kichwa cha habari 'ukabila tff:jamal malinzi
jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea'na ile ya remote ambayo kimsingi
naona iko tofauti na ile ya remote...
Remote amemquote moja kwa moja edo kumwembe lakini mimi pamoja na
kumquote edo kumwembe nimeweka maneno yangu ambayo yanamshauri
malinzi(kulingana na heading ya thread) na pia nimeweka
vielelezo...
Tff kuna uhaya, hilo halina mjadalaNjooni mjiridhishe hapa msiwe mnapayuka!Secretariat
Tff kuna uhaya, hilo halina mjadala