Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Hizi nafasi zilitangazwa lini?usaili ulifanywa lini?,mhhh bwengas bwana kwa ukabila mnakela.

Enzi za Tenga usaili ulikuwa unafanywa na kampuni professional toka nje. Huyu mhaya kafanyia chumbani kwake!
 
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

na katibu mkuu sasa ni mhaya, mwesigwa hongeza hapo juu
 
Sijajua kwanini wa2 wanakazania MALINZI kutoa ufafanuzi. Yeye mwenyewe jana alilitolea maelezo kuwa hajali dini, mtu au kabila lake. Anachokijali ni soka la bongo na utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kelele za nini sasa, watu mnawahi kuangalia majina ya ubini badala ya weledi wa mtu?

After all we work with the people we know best!
 
Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hii toka kwa Edo Kumwembe:
Asante Jamal Malinzi, wewe mwenyewe mhaya, Katibu mkuu mpya TFF mhaya,Mkurugenzi mkuu wa sheria mhaya, mshauri kamati ya ufundi mhaya, Mwenyekiti wa kamati ya maadili mhaya, mwenyekiti mpya kamati ya uchaguzi mhaya! Asante sana, world cup here we go!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
wamejichagua???
 
Edo kumwenbe! angetuwekea na sifa zao kielimu ili tujue km wanastahili kua apo walipo au lah!
 
Duhhhh!!!!!
Kazi kwelikweli.
Hebu tupewe sifa zao, tuzijadili hapa!!!!!!
 
Mleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!
View attachment 128704View attachment 128705View attachment 128706
Ficha upumbavu wako!
Inawzekana kweli mimi ni mkabila na -------- mkuu wangu...

Lakini kwangu mimi mtu anayekurupuka na kuanza kumtuhumu mwenzie bila kuelewa nini kimeandika na mtoa mada ndiye -------- zaidi..

Mimi nimeleta hili kwa lengo la kunsaidia Jamal Malinzi ambaye ni member mwanzangu humu..Ndio maana kwenye heading nikamuomba bwana Malinzi ajibu/afafanue hili la ukabila TFF kabla sumu haijasambaa...

Na pia nimemshauri aeleze hata namna mchakato wa kuwapata watendaji hawa ulivyokuwa..

Na hata niliyemnukuu akizungumzia ni Edo Kumwembe ambaye ndiye kisa cha mimi kumshauri Malinzi afafanue hili kabla sumu ya ukabila haijaenea..

Kwa hiyo bwana Kiiza/Kaka Kiiza soma uelewe nini kimeandikwa badala ya kuongozwa na hisia za mimi kuwazungumzia Malinzi, Mwesiga, Mtawala, Mshangama na Madadi na wengine ambao kimsingi ndio watendaji wakuu wa TFF..
 
Njooni mjiridhishe hapa msiwe mnapayuka!Secretariat
Mkuu kama wewe ni Muhaya naomba uniwie radhi maana looks like nimekukwaza..

Lengo langu si kuwaponda wahaya ama kupinga uhaya wa Malinzi ndani ya TFF...

Mimi nimemuomba/nimemshauri Malinzi atolee ufafanuzi suala la ukabila ndani ya TFF kabla sumu hii ya ukabila haijaenea(soma heading)..Hii ni sumu inayoenezwa na Edo Kumwembe na wenzake (ambaye nimemnukuu hapa) ambayo ikienea itakuwa na madhara makubwa sana kwenye soka la Tanzania ambalo lipo ICU..

Si vibaya pia ukamshauri Malinzi akalitolea ufafanuzi suala hili ambalo asipoangalia litamsumbua sana..
 
Hivi Wahaya wanajua mpira?? Kuna mchezaji kutoka Bukoba ambae ni maarufu??
 
Mkuu kama wewe ni Muhaya
naomba uniwie radhi maana looks like nimekukwaza..

Lengo langu si kuwaponda wahaya ama kupinga uhaya wa Malinzi ndani ya
TFF...

Mimi nimemuomba/nimemshauri Malinzi atolee ufafanuzi suala la ukabila
ndani ya TFF kabla sumu hii ya ukabila haijaenea(soma heading)..Hii ni
sumu inayoenezwa na Edo Kumwembe na wenzake (ambaye nimemnukuu hapa)
ambayo ikienea itakuwa na madhara makubwa sana kwenye soka la Tanzania
ambalo lipo ICU..

Si vibaya pia ukamshauri Malinzi akalitolea ufafanuzi suala hili ambalo
asipoangalia litamsumbua sana..

Uzi huu kaleta Remote! Humu ndani ww ndiyo unajibu..mods hebu check hii.
 
Naona Mods wameunganisha thread yangu yenye kichwa cha habari 'Ukabila TFF:Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea'na ile ya Remote ambayo kimsingi naona iko tofauti na ile ya Remote...

Remote amemquote moja kwa moja Edo Kumwembe lakini mimi pamoja na kumquote Edo Kumwembe nimeweka maneno yangu ambayo yanamshauri Malinzi(kulingana na heading ya thread) na pia nimeweka vielelezo...
 
Jamani kama hii ni kweli then we do have a problem, ashughulikiwe mara moja bila kuchelewa
 
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
eddo yuko sahihi kabisa.....
 
naona mods wameunganisha
thread yangu yenye kichwa cha habari 'ukabila tff:jamal malinzi
jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea'na ile ya remote ambayo kimsingi
naona iko tofauti na ile ya remote...

Remote amemquote moja kwa moja edo kumwembe lakini mimi pamoja na
kumquote edo kumwembe nimeweka maneno yangu ambayo yanamshauri
malinzi(kulingana na heading ya thread) na pia nimeweka
vielelezo...

noted mkuu
 
Back
Top Bottom