Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Siku zote naamini Tanzania itaanza kusonga mbele kwa kasi pindi makabila viongozi wakitambua wajibu wao kuchukua jukumu la uongozi ktk sekta zote muhimu za nchi hii.
Namuunga mkono Jamal. Piga chini wazee wa majungu.

Mwalimu Nyerere aliweka kabila fulani jeshini na kwenye mambo mengi ya ulinzi kwani hakuona yeye alijali ufanisi zaidi
 
Duhhhh!!!!!
Kazi kwelikweli.
Hebu tupewe sifa zao, tuzijadili hapa!!!!!!

suala siyo kuwa na elimu, ni namna walivyopatikana. Kama wamepatikana kishikaj, tutégemee upigaji wa dili tu
 
even if Mkuu, lakini sio fair kabisa, alitakiwa kumix tu ili kuondoa dhana za upendeleo

Of course mkuu issue hii inafikirisha sana na kama ulifuatia baada ya uteuzi huo me nilisema hapa jamvini kuwa Malinzi anapaswa kuwa makini. Hii comment yangu uloquote nilikuwa napass time tu!!!!
 
hadi miaka hii bado tuna jadili kabila la mtu jamani!.. hio ni dhambi ya ubaguzi ,mtu kama anakidhi vigezo ndiyo asipewe kazi kisa kabila lake? Sote ni watanzania ndugu zangu ama uwe muhadzabe au muhaya alimradi uwe navyo vigezo tu ,vya msingi!
 
..

..Dhu!!

...pole pole...kuna siku utamtafuta babayako mbele ya mama yako!!!
 

Tusiendekeze malumbano ya kidini na kikabila; kikubwa ni sifa za wahusika(competence); Kama wanazo sifa za nafasi hizo,vema tukifumba midomo; Lah kama hawana sifa kuna mjadala.Je hawana sifa na vigezo vya hizo nafasi?
 
Mwalimu Nyerere aliweka kabila fulani jeshini na kwenye mambo mengi ya ulinzi kwani hakuona yeye alijali ufanisi zaidi

Nyerere hakuwaweka jeshini, wenyewe walikuwa wanapenda kujiunga na jeshi.
 
Tusiendekeze malumbano ya kidini na kikabila; kikubwa ni sifa za wahusika(competence); Kama wanazo sifa za nafasi hizo,vema tukifumba midomo; Lah kama hawana sifa kuna mjadala.Je hawana sifa na vigezo vya hizo nafasi?

Wamekaa kiroho mbaya roho mbaya tu mambo ya chuki za mtaani wanayaendekeza hadi humu jamvini.
 
Tusiendekeze malumbano ya kidini na kikabila; kikubwa ni sifa za wahusika(competence); Kama wanazo sifa za nafasi hizo,vema tukifumba midomo; Lah kama hawana sifa kuna mjadala.Je hawana sifa na vigezo vya hizo nafasi?

Kwahio kati.yq watz milion 45 wenye.sifa ndio hao wahaya tu.
 
duh bora uteuzi huo utaanza kazi 01/january/2015,ni muda mrefu umebakia,mwaka mzima,msilalamike sana huenda ni mtego,naamini atapunguza wahaya bwana Malinzi...
 
Kwahio kati.yq watz milion 45 wenye.sifa ndio hao wahaya tu.


Unaweza kuwa na hoja mkuu ila binafsi nina tatizo na jinsi unavyowasilisha hoja zako. Watanzania tuko 45mil ila kati hao, wanaofaa au wenye uelewa wa mambo ya mpira wa miguu kwa kiwango cha kuchukua uongozi wa juu katika level ya kitaifa hawawezi kufika hata 1000 (please correct me if I am wrong). Kwa hiyo hatuwezi kuangalia walioteuliwa kwa population ya watanzania wote 45mil.

Hoja ambazo zingetusaidia sisi wengine tunaofuatilia mjadala huu ni kama hizi hapa:

1. Je nafasi husika zilitanganzwa kwa umma?
2. Watu wangapi na wenye sifa zipi waliomba hizo nafasi (tuwekee sifa za waliopata + waliokosa)
3. Kazi ya kutangaza nafasi, kuchuja majina, kufanya usaili na uteuzi ilifanywa na nani?
4. Je, wale waliofanya kazi hiyo walikuwa huru au waliingiliwa na wakubwa wa TFF kwa maslahi binafsi?
5. Je, taratibu za ajira katika nafasi za utendaji ndani ya TFF zinasemaje?
6. Kuna ukiukwaji wa taratibu umefanyika katika hatua yoyote?
7.
8.

Hata hivyo, ikitokea nafasi kuu za juu katika taasisi moja kujazwa na watu wenye haiba/dini/kabila moja hata kama wana sifa za kutosha siyo jambo zuri.

Ila kwa sasa ningeomba tupewe uchambuzi wa hoja badala ya kuwamwagia watu tuhuma bila uchambuzi wa kutosha kusupport allegations zinazotolewa.

Pia naamini Ndugu Jamal Malinzi atakuja kutupatia ufafanuzi zaidi,
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa mkuu mwenyewe yupo humo atakuja kukujibu tu..
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa mkuu mwenyewe yupo humo atakuja kukujibu tu..


Ni kweli ila pia wadau ambao wana uelewa wa haya mambo especially kanuni zinazotumiwa na TFF kupata watendaji wake wanaweza kutusaidia badala ya kuacha mjadala ukaendelea kama ilivyo sasa. Pia kama kuna watu wanajua jinsi mchakato ulivyofanyika basi watujuze tu.
 
Nani alituma wazazi wazaz wako kukimbia bukoba
 
Kwa hiyo tukishapata mseto wa makabila halafu bado soka likawa bora liende ndio nini sasa? Mkimaliza makabila njooni na dini, kisha rangi ya ngozi, halafu kimo mpaka mumalize vigezo vyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…