LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili.
Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia.
Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake.
Mmakonde Muislamu wa Newala anamuona mmakonde mwenzake ambae ni mkristo kuwa ndio ndugu yake zaidi kuliko muislamu mwenzake muhaya wa Bukoba and vice versa.
Asilimia kubwa ya wachaga ni wakristo lakini na waislamu wapo pia.
Ulifundishwa muislamu nduguye muislamu, lakini katika maisha halisi huyu mchaga Muislamu Alhaj Mohamed Swai anamuona Bishop John Massawe ndugu yake zaidi kuliko wewe Bwana Nassoro Maganga wa Tabora. Huo ndio ukweli ndugu zangu.
Wakati wa utawala wa Good luck Jonathan wa Nigeria ambae anatoka katika kabila la Ijaw aliibuka jamaa wa kuitwa Alhaji Assari Dokubo ( he share the same tribe with Jonathan) muislamu mwenye msimamo mkali kama mwanaharakati wa kumpigania Good luck Jonathan na alifanya hivyo dhidi ya wahausa wa kaskazini mwa Nigeria ambao majority yao ni waislamu pia.
Hivyo ndivyo ilivyo katika maisha yetu ya kila siku.
Funzo kwa vijana:
Jali zaidi watu wa nyumbani kwenu. Hata Biblia inasema amelaaniwa mtu yule asie saidia watu wa nyumbani kwao.
Jali watu wa nyumbani kwenu kuliko watu ambao umeunganishwa nao kwa dini au imani y'ako kwa sababu watu wa nyumbani kwenu umekuwa tied nao kwa damu na wote tunajua how much blood ties are so powerful.
Heshimu mila na desturi za nyumbani kwenu. Be connected na watu wa nyumbani kwenu.
Viongozi na wanasiasa wakubwa wanaijua siri hii. Kiongozi wa kisiasa wa kiafrika anajua kwamba ndugu yake ni yule wa nyumbani kwao na sio yule wanae sali/swali nae.