Pongezi ziwaendee madada poa wapo makini sana na Afya zao zaidi kuliko Hawa wa Kitaa. Wadangaji wengi wa Kitaa hawajali Afya kabisa na isitoshe Wana gharama sana. Je mtazamo wako upoje. Karibu tujadili.
Nadhani hili liwekwe kwenye Katiba Mpya!
 
Dunia Iko hivi, ukiwa huna pesa au ukiwa mdogo au ukiwa na limited access ya baadhi ya vitu basi unajikuta tu unatamani Kila demu!

Then, unakuja UMRI Fulani unakua na pesa kiasi au sana, una Access za kutosha na uhuru wa kutosha, automatically unajikuta kuwa kumbe NGONO ni jambo la kawaida tu.
 
Ukitaka haya mambo kuyaendea vizuri dili na mwanamke wa levo yako kiuchumi haitakupa presha. Malaya mzuri ni yule unayelipa mnamalizana hadi safari ijayo ikiwa utamtaka tema.
 
Broo tuache
 
Serikali haiwezi kuingilia kati kwa sababu wateja wakubwa wa hawa madada poa ni viongozi wa serikali wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…