Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

Mkuu mwanzo nilipingana na Magu jinsi alivyolihandle janga la corona, lkin sasa nipo nae. Huyu kooona haishi leo ama kesho ni kumzoea tu na tuishi nae.

Hao wanaojifanya kufunga mipaka sjui lockdown pumzi itawakatikia wakati corona haijaisha.
Hiyo logic inafanya kazi tu kama hutoi takwimu sahini walau kila baada ya siku tatu, wagonjwa wapya, waliofariki na waliopona
 
"Duniya ina ajabu ...
Tanzania wana Magufuli lakini amewaachiya uhuru ,
Kenya tuko na Uhuru lakini ndio katupiga magufuli ..."
😂😂😂😂😂
 
Wewe kama unajiona mwerevu sana jifungie ndani kwako, hujakatazwa. We endelea kukaa ndani


Wewe ni mpumbavu, kwenye hoja zangu ni wapi umeona na zungumzia swala la lockdown?

Napata mashaka sana na njia iliyo tumika kuzariwa kwako.Isije ikawa ulikulia kwenye chupa mama yako akaficha kukwambia ukweli.

not everyone is willing to take the risk!
 
Wewe ni mpumbavu, kwenye hoja zangu ni wapi umeona na zungumzia swala la lockdown?

Napata mashaka sana na njia iliyo tumika kuzariwa kwako.Isije ikawa ulikulia kwenye chupa mama yako akaficha kukwambia ukweli.

not everyone is willing to take the risk!
Wewe ni mpumbavu na unajisahaulisha kuwa umehoji vyuo vikifunguliwa wanafunzi raia wa kigeni watakujaje?

Panua akili yako kama unavyopanua mnduku wako unapokuwa chooni.

Haki nakwambia we hasara tupu mamako aliambulia utamu tu kitandani.
 
Wewe ni mpumbavu na unajisahaulisha kuwa umehoji vyuo vikifunguliwa wanafunzi raia wa kigeni watakujaje? Panua akili yako kama unavyopanua mnduku wako unapokuwa chooni.
Haki nakwambia we hasara tupu mamako aliambulia utamu tu kitandani.
Umeshindwa kujenga hoja, bila shaka utakuwa na matatizo ya down syndrome.

not everyone is willing to take the risk!
 
Kwa mawazo yako wewe unafikiri vyuo na shule vingefunguliwa baada ya Corona kuisha, unajua Corona inasha lini?

Ikiendelea kuwepo miaka mitatu mbele na vyuo vitaendelea kufungwa miaka mitatu?

Huko China, ujerumani etc. Shule zimefunguliwa, lockdown imelecezwa, Corona imeisha?

Mwanzo nilikua napanic Sana nikimsikia JPM na misimamo yake lakini Sasa nimeanza kumuelewa, ninapopingana naye tu ni yeye kuwaingilia wataalamu wanaotaka kuwe na utaratibu wa kiafya katika kuwazika waliokufa na Corona.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pia ni logic sana kama daktari anaweza kuvaaa mavazi na asipate corona. Kwa nn maiti isivalishwe hayo mavazi ili isiambukize watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hotuba/Mazungumzo yake ktk Usharika wa KKK T Chato Mh.Rais alitoa mfano wa Rafiki yake aliyegunduliwa kuwa na Corona Muhimbili(Superspealist Hospital ya Serikali) lakini ndugu zake wakampeleka Agha Khan na hakuonekana na Korona!
Amepona!
Maelezo haya yanathibitisha hoja kadhaa
  1. Vipimo vya Covid Hapa nchini haviaminiki.
  2. Hospitali ya Muhimbili Ina vipimo visivyo aminika?!
  3. Kama Hali ndivyo ilivyo ,Basi inawezekana Takwimu zetu sio sahihi
  4. Kama takwimu zetu sio sahihi Basi Kuna mawili ima tuna wagonjwa wengi au wachache Kama Serikali insvyoeleza
  5. Kwa maana hiyo maamuzi yoyote yanayotolewa kwa kutumia Takwimu hizi yanaweza kuwa Yana kasoro kubwa Sana...vyuo kufunguliwa,Shule !
  6. Katika janga Hili la Korona na tabia ya mdudu huyu ambaye Tunaona anavo itafuns na Marekani,Brazili ,Haiti nk ...Mungu tusaidie!
 
Habari ya mda huu wanajanvi!

Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini.

Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:-

Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

Inamaana Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia wanahuhadaa ulimwengu kuwa idadi kubwa ya watanzania wameathirika na virusi vya Covid-19. Wanafanya hivyo kwa faida ya nani?

Muheshimiwa Rais anapofikilia kutoa maamuzi juu ya ufunguzi wa vyuo nchini, anahuakika gani kuwa maambukizi yameisha mitaani. Ametumia mbinu gani kuwapima wananchi wote nakuthibitisha hilo?

Linapo kuja swala la kufunguwa vyuo hapa nchini Rais atambue kwamba kuna wanafunzi wanaotokea nnje ya nchi na wanasoma hapa nchini.

Kimsingi Rais anatowa maamzi kwa kupaniki na bila ya kushirikisha akili yake. Rais anataka kila mtu akubaliane na mawazo yake.

Kuwa Rais hakukufanyi wewe uonekane una akili nyingi na mitazamo mipana kuliko wananchi wote unao waongoza. Hata mtu wa mwisho darasani kwenye mitihani anaweza akapewa dhamana ya kuwa kiongozi.

Kalibuni kwa maoni...

Not everyone is willing to take the risk!
Unadanganya! Hao majirani hawajasema maambukizi Tanzania ni mengi, japo kuna madreva kadhaa wasiofika 100 walikutwa na maambukizi. Ukilinganisha kiwango cha maambukizi duniani hao ni wachache sana!

Kuhusu kufungua vyuo, hakuna nchi duniani ambayo inasubiri maambukizi yaishe ndio ifungue shule na vyuo. Wote unaowasikia wamefungua wana maambukizi mapya kila siku mengi kuliko Tanzania.

Tanzania tumeshapona na wiki hii ijumaa hadi jumatatu ni maombi ya shukrani kwa Mungu.
 
Na amesema mtoto wake aliugua corona na sasa amepona. Je, tuamini kwamba kweli aliugua? Kwani rais haamini vipimo vya corona vilivyopo au alipimwa Kenya?
Hivi wewe kama ulikuwa unaumwa, ukipona huwezi kujua kama umepona?
Ina maana hata ukiumwa hauwezi kujua kama unaumwa mpaka ufanyiwe vipimo!! Kama ni hivyo utakuwa ni mfu!!
 
Kwa uthibitisho upi kujua kama imepungua?

Vp hao madereva kila siku wanakutwa na Corona?
Hayo unayajua wewe, tunachojua sisi ni kwamba Corona imepungua makali yake hapa nchini na muda sio mrefu shughuli zote zitarudi kama kawaida.
 
Back
Top Bottom