Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kupitia ukurasa rasmi wa Dstv huko Instagram, wananchi wengi ambao ni wateja wa Dstv wameomba kupunguziwa gharama hasa kwenye vifurushi kutokana na ukali wa maisha.

Wengine wakaenda nbali zaidi, kuwa wanatumia king'amuzi cha Canal hivyo hawako tayari kunyonywa na gharama kubwa za Dstv.

Wakati hayo yakiendelea, chini ya kapeti kuanzia septemba 1 kutakuwa na mabadiliko ya bei mpya za vifurushi kutoka Dstv ambapo nimedokezwa kuwa gharama zitapanda kidogo.
Kwahyo mjiandae kwa maumivu zaidi.

 
Wa kulaumiwa ni serikali ambayo inaongeza tozo kila mahali wao ni wakusanyajj tu au umesahau kuwa walipanga kuweka tozo kwrnye ving'amuzi mkuu.
 
Kama kawaida tuko bise na vitu visivyo kuwa na maana, Hizo Dstv ndo vitu muhimu kwao?
 
Siku zote lawama hazijawahi isha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…