Ukali wa Maisha: Wananchi waiomba Dstv ipunguze vifurushi vyake

Nilitaka ninunue DStv Leo ili nijiandae na World Cup, itabidi nisikilizie kwanza bei mpya ya ving'amuzi.
 
Wanazingua kichizi, soon nitawahama nibaki na CANAL+ SPORTS japo wanapatikana kwa mbinde
 
Hahaaaa jamaa Nouma kati ya hao waliotoa malalamiko nami nimo
 
mwendo wa Canal+ tu. Hadi tutajua kifaransa. Sisi watu wa betting hatuna shobo na Dstv ni mwendo wa link tu. Nataka niangalie mechi ya Como na Palermo serie B ili niibetie sasa dstv itanisaidia nini hapo.

Hii canal naipataje mkuu
 
World cup ndo tutanyooshwa maana wanajua lazima tununue.
World cup nadhani tv station za serikali uwa zinaruhusiwa kasoro kwetu tbc sijui uwa wana shida gani,so unaweza kuangalia world cup azam tv kwa kupitia ubc,kbs nadhani hata tv za malawi na rwanda uwa wanaonyesha pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…