Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

Tanzania kuna shida gani?
Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana?

Hii serikali inaweza jambo gani?
Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke
 
Back
Top Bottom