G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Nov 17, 2024 #1 Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Nov 17, 2024 #2 G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Kwani tangu lini akili za wabongo zifanani na za waarabu,
G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Kwani tangu lini akili za wabongo zifanani na za waarabu,
P Paschal qamara JF-Expert Member Joined Aug 17, 2022 Posts 2,218 Reaction score 3,958 Nov 17, 2024 #3 G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke
G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke
S stormryder JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 3,776 Reaction score 5,786 Nov 17, 2024 #4 Paschal qamara said: Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke Click to expand... Ila at least wamejiandaa kwa vifaa. Unajua itakuwaje ikitokea tetemeko?
Paschal qamara said: Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke Click to expand... Ila at least wamejiandaa kwa vifaa. Unajua itakuwaje ikitokea tetemeko?
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Nov 17, 2024 Thread starter #5 Paschal qamara said: Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke Click to expand... Unataka kusema nn?
Paschal qamara said: Israel kabla ya kushambulia hayo magorofa husambaza maelfu ya vifushi au ujumbe kwa raia waondoke Click to expand... Unataka kusema nn?
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Nov 17, 2024 #6 G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Unataka wàtanzania nasi tufanye uokoaji kama magaidi?
G4N said: Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani? Click to expand... Unataka wàtanzania nasi tufanye uokoaji kama magaidi?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 17, 2024 #7 Covax said: Kwani tangu lini akili za wabongo zifanani na za waarabu, Click to expand... Mkuu mbona nawajua waarabu wengi tu ambao ni vilaza?
Covax said: Kwani tangu lini akili za wabongo zifanani na za waarabu, Click to expand... Mkuu mbona nawajua waarabu wengi tu ambao ni vilaza?