Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ndugu zangu huko pole sana, ngoja tusubiri taarifa rasmi ya hili tukio, Mungu wape uvumilivu wote walio katika eneo la tukio na wote wanaopitia maumivu makali siku ya leo.
 
Magufuli alisema AMECHOKA KUTOA RAMBI RAMBI, sijui safari hii atakaa kimya. Na hata akikaa kimya bado sifahamu kama ataelekeza ilio kwa ma-trafik au K Lugola au SUMATRA. Tusubiri.

Mimi natoa pole kwa wote waliofiwa na ndugu na jamaa.
Tuna shetani maafa yatatuandama
 
Nimeona picha ya kivuko hicho ni mita 70-100 hivi toka nchi kavu hata fence inaonekana
 
Mkuu inauma sana! Wanajeshi tayri wamefika eneo la tukio lakini sasa hivi wanatoa watu waliofariki, inasemekana watu wanaokisiwa kufikia 30 ndo waliokolewa wakiwa wazima.
Jamani Mungu wangu nahisi kuganda, jamani jamani Roho za Watanzania wenzetu zimo zinateketea bila hatia, kifo cha maji kinaua vibaya sana maana baada ya muda mfupi tu MTU anajua kuwa anaenda kufa. Mungu asaidie wakolewe walau ambao bado hawajapoteza maisha.
 
Kama hapazidi mita 100 wakara wenzangu inakuaje washindwe kujiokoa?....maana enzi zetu hizo mita mia ilikua ni kichanga cha pili au cha tatu na ukiishia hapo nikwamba hujui kuogelea
kwa Mazingira ya tukio sio
 
Back
Top Bottom