Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Siasa zile zile za kiafrika, zilizojaa malalamiko. Inapopitishwa bajeti ya mawasiliano na miundo mbinu wabunge wanatoka nje na kupinga.

Mungu kwa unyenyekevu mkubwa liondolee ujinga bara la Afrika, limeteseka na kuendelea kuteseka.
Kwa mtizamo wako unadhani wakisema bara la Afrika lina ujinga unafikiri ni swala na twiga wa serengeti? Au mapiramid ya Egypt? Yaweza kuwa wewe mwenyewe ukawa unaliongezea bara let asilimia kadhaa bila kulitambua hilo.

Ajali zinatokea mpaka kwenye nchi zilizoendelea, tatizo hapa lipo kwenye demand ya watu na kivuko husika, our government could have done better before yet they still have all what is required to sort it out
 
Kafungue radio yako upige nyimbo za dr Remmy...
We zwazwa kweli.. yaan mtu aache kufanya mambo mengine kisa meli imezama..?? Mv spice mlihitaji haya??
 


Mmoja ya wadau amesema possible reason ni kuwa watu walihama na kusogea mbele ili kuwahi kushuka baada ya kivuko kukaribia nchi kavu, kwahiyo uzito ulisababisha kivuko kuelemewa upande mmoja
 
niseme tu poleni watanzania wenzangu.MUNGU atutie nguvu kipindi hiki kigumu na cha majonzi.
 
Kabisa kabisa mkuu, hasa kama hawa wahusika HAWAKUWA na DILI lolote, Hapo ndo wangeanzia kujiuliza.
Infact wengine muda huu wangekuwa wawewekwa ndani kupisha uchunguzi.
Huu ni uzembe na tamaa. Maswali kama haya yanafaa watu wajiulize..
 
Rais Magufuli atoa salamu za rambirambi


Tunaomba taarifa sahihi, Waziri Mkuu akiwa kwenye tukio anasema miili 136, na Rais anasema 131, je hiyo miili imepunguaje ukizingatia kuwa taarifa ya Rais imekuja baada ya ile ya PM?
 
Hiyo kauli ilikuwa furahisha genge ,sababu zilizo mtoa Mwigulu zipo nyuma ya Carpet
 
Mwenye nchi yeye yuko wapi?? Maana ni wananchi wake...
 
Hapana mimi natofautiana na wewe. Ajali ya MV Nyerere ni ajali kama ajali zingine ambazo zinaweza kutokea wakati wowote. Kama alivyoshauri Mhe. Rais na Mhe.Mbatia wakati huu tunatakiwa tuwe WAMOJA na baada ya mazishi ndo tukae pamoja na kuangalia nini chanzo chake na kuitafutia ufumbuzi wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…