Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha maana ya Starring na Sterling, kisha uyatumie inavyostahili maneno hayo!Madai yake ni Sterling, hatokei mwanzoni mwanzoni. Anakuja kujitokeza baadaye baadaye hivi.
Zitaanza kesho.Mbona bendera hazipepei nusu mlingoti.Kuna nini kinaendelea Tanzania.
Walau umetoa mwanga.kimsingi ni siku 3 maana leo ijumaa ndio siku ya kwanza na imeishakwisha, ....., hii ni maombolezo bob, kama ni kazi binafsi kafanye ila za kiserikali kwa uzoefu nadhani ofisi zinafungwa kasoro zile tu ambazo huwa hakuna kusimama kufanya kazi mfano poliso, vituo vya afya na vingine kama hivyo.
Hili janga si la ubovu wa meli kwani mbunge alilalamika na kivuko kikawekewa injini. Na hata isingewekewa injini bado kuzama kwa meli hakuwezi kutokana na ubovu wa injini. Meli inaweza kuzimika injini na bado ikaelea maisha mpaka itakapooza. Kinachoweza kuzamisha meli kirahisi ni upakiaji wa mzigo. Kuna taratibu za kupakia mzigo to kana na uzito, ujazo, mzigo wa kuhama hama n.k. Bila kuzingatia mpango sahihi wa kupakia mzigo lazima meli itazamani siku moja.yaani serikali nzima ya jiwe na inapaswa kujiuzulu na siyo waziri peke yake, mbunge alikwisha ona kuna shida kwenye hicho kivuko na akatoa ushauri bungeni lakini serikali ya jiwe ikapuuza, leo hii roho za watanzania zimetekea! ila ma-CCM kiama chao kitafikaa tuu!
Hoja ya kup.umbavu kabisa.
Jambo la muhimu ilikuwa kuzuia maafa.
Mbunge wa Ukerewa amelalamika sana Bungeni. Alieleza jinsi alivyohangaika na alivyoonana na viongozi mbalimbali wa serikali kuelezea hali ya hatari iliyokuwa ikiwanyemelea watumiaji wa kivuko cha Nyerere lakini serikali haikuwahi kufanya chochote.
Leo wakati watu wamekwishakufa ndiyo wanajikusanya kwenda kisiwa cha Ukara. Unafiki mkubwa! Msaidie mtu kulinda uhai wake na siyo kubeba jeneza lake
Nafikiri yiko under serious Stress.Na anaongea bila kuelewa ni nini hasa anchokizungumziaKivuko kilibeba watu 400
Waziri kasema sa 12 watakuwa wameipata miili yote 228.
Ngoja tuone uongo wake
Polepole mkuu, Hapo umejichanganya mpaka na wewe, labda kama wewe si mdanganyika.Tz ni nchi ya wajinga jinga sana
Nakuelewa mkuu. Ni kweli ila mtu akitubu basi huna namna.Halafu wakale wapi? Hapa kila mtu yuko anatubu mpaka dhambi za jirani!!
vipaumbele vipi hivyo ambavyo serikali hii havijaguswaSio hili tu, yapo mengi yanakuja na yataendelea kuja kwa sababu maisha yetu yanafanyiwa maamuzi na wanasiasa. Hivi ni leo wewe umesikia watu wakipigia kelele suala la vipaumbele vya nchi? Hakika wewe ni mwanasiasa ama mnufaika wa kisiasa, Huna hata chembe ya huruma.
Umemuliza nani?Kuna mtu nimemuuliza hapa kasema watumishi wote wataendelea na majukumu kama kawaida.
Usiulize hivyo :Nilitegemea kwa wakati huu KUB Mbowe angekuwa kisiwani Ukerewe kujumuika na mbunge wa jumbo hill ambaye ni wa Chadema pamoja na timu nzima ya viongozi wa serikali na vyombo vya dola. Kwanini Mbowe kamuacha mbunge wake akiwa mpweke katika wakati huu mgumu!
Mungu anamuona lakini!Yule ni DJ alafu leo weekend imesogea, anaruka majoka na kutumbua ruzuku
Kofi ya Bills alishindwa kulipa ataweza mambo ya kivuko!Usiulize hivyo :
Uliza hivi :Kwanini Nbowe hajanunua kivuko kipya wakati anakusanya kodi za Watanzania?