Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ulikuwa kwenye eneo la Tukio? Si uendelee tukuone ulivyo jasiri
 
Ila magari ya washawasha wameyajaza nchi nzima mkuu, wanahofia Nini Kama wanakubalika na watanzania...
 
Sijawahi panda kivuko,ina maana mle ndani mpaka kufika muda wanasitisha zoezi maji yalikuwa hayajaingia?
 
si bure

kuna malighafi wanatafuta

Li Putin lina maajenda mengi mno duniani kujali pole kwa ka nchi ambako most all russians hawajawahi kukasikia



In-Situ Leaching wells at Mkuju River uranium mine test site, Tanzania. Source: IUCN/Roger Porter.

Hawa hapa Rosatom (Russian State Nuclear Corporation) maeneo ya Mkuju, Namtumbo, wanafukunyua Uranium za kutengenezea ma nuclear weapons. Kuna siku Rais atatuambia "mabepari wamemaliza Uranium yetu" as if wanakuja usiku na bunduki ka majambazi
 
RC sema unatania tu au unalinda ugali wako other way kila kitu kingekua sawa, hadi kufika hapo ulipo physics ulisoma kidogo hata ile basic ya form one na kinachofanya samaki atoke ni huo mwanga unapenya kwenye maji kungekua giza samaki wasingeweza kupanda
 

Well said, lakini kama ilivyo kwenye nchi zote Afrika, we are very reactionary, tunakurupuka kwa matukio.
Haiwezekani kosa la kuwajaza abiria kupita kiwango ndio juzi limejulikana kana kwamba halifanywi kote kila siku.
 
Vifaaa vyakukesha kulinda kura za chama penda vipo lakin?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Laana inawatafuna!
 
na vifaa vya kulinda ule moto afu asubuhi eneo la tukio, unakuta pamejaa condoms
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Hii sehemu naifahamu sana maana mwaka 2003 nimeishi hapo na hapa kisiwa cha nyuma kabla hujafika ukara ukiwa unatokea ukerewe, kisiwa cha kweru mkungu(mita 400) kwenda ukara)/japo kweru mto ipo mbali kidogo ila cyo kivile (km kilomita 1 au 1.5) (kisiwa ambacho mwaka huo hakikuwa na wanawake, ilikuwa ukimuona mwanamke ujue kuna mtu kamleta kwa oda) kwa hiyo uwezo Wa kupata hzo spotlight ililuwa in rahisi sana kupatikana
 

Are you serious? Ni kweli awamu ya nne waliuza hata Uranium kienyeji? Kweli Mwl alikuwa na wanafunzi wendawazimu kwani mikataba yote ilisamiwa na wanafunzi wa Nyerere ambao walisoma bure kutoka kindergarten mpaka Chuo kikuu(wale wote wa umri ambao haukuzidi 65 as at 2008 A. D.!!!
 
Najiuliza huyo RC alitumia logic gani kwamba kwa jinsi hicho kivuko kilivyobinuka hadi wakati huo hakuna aliye hai. Alikujaje na hiyo judgement ilhali ameshindwa kuitumia the same judgement kurule out uokozi uendelee by any means.
 
Huu ni ukweli,

Kinachotuponza ni ujuaji mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…