Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Dah...kwani ni jambo baya?[emoji41]Fisiemu huyu mbunge. Muda si mrefu ataunga mkono juhudi za Baba Bashite
Hivi tunapataje ujasiri wa kutupiana vijembe vya kiitikadi kwenye misiba
Aisee,huu upupu sio wa GTYote aliyoyasema kwenye press ya Jana ni uongo mtupu. Mbunge wa Ukerewe kuweka kula kitu hadharani soon kuhusu hoja take ya kivuko aliyoitoa bungeni. Stay tuned nitawajuza kupitia hapa hapa!
Pole Sana lakini rambirambi hatutoimusiba uko mkoani kwangu jamani nipeni poleee
NI kawaida, Sijui kapteni aliondokaje lakini anaweza kuwa alianza safari kwa tahadhari kwa kujua abiria aliokuwa nao. akishafika karibu, anaona ana uhakika wa kufika na huenda uangalifu ukapungua.Mkuu, uwe mpole, limeshatokea. Hii sababu ni technical reason kuwa ni kwa nini hakikuzama mwanzoni mwa safari au hata katikati na badala yake kikazama just 100 mts kabla ya kutua.
Bado naungana na wewe kuwa ni uzembe kuzidisha watu au mizigo.
Wewe hebu funga bakuli lako walahi!Vifo vya kujitakia kwa uzembe wa serikali..
Gharama ya kivuko kama cha Magogoni maximumly ni 10Bil..
Tumeshafanya chaguzi za marudio za KIJINGA kabisa ambazo wabunge wameamua wenyewe kujiuzulu then hao hao wakagombea tena na wakashinda na zimeshagharimu 60Bil mpaka sasa..
Hii pesa ingetosha kununua vivuko 6 vipya na kusambazwa kwenye sehemu mbalimbali na kuondokana hata na hii ajali ya juzi.
Acha pesa mabilioni ambazo zimeshatumika kuwanunua wabunge na madiwani wa upinzani halafu mtu anakwambia yeye yupo kwa ajili ya wanyonge wa nchi hii..
Serikali ya ovyo kabisa isiyojali wananchi wake.
Huyo abiria anajuaje kuwa max limit ni abiria 400???????Hapa mamlaka hazikwepi lawama!DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KOSA NI KUJAA KWA MELI KUPINDUKIA, MARA NNE YA UWEZO WA MELI KUBEBA!
JAMBO KUBWA NI KUWAELIMISHA WANA NCHI KUTHAMINI KUISHI KUCHUKUA TAHADHARI NA KUTOKUPANDA CHOMBO CHOCHOTE CHA MOTO KILICHOJAA SANA!
BINADAMU LAZIMA UTHAMINI MAISHA YAKO KWANZA KULIKO KITU CHOCHOTE walahi!
MAISHA YANA SONGA MBELE WITH OR WITHOUT YOU WALAHI!
That’s all!