Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kuanzia kesho ukaguzi wa vyombo vya majini nchi nzima na kuna uwezekano wengine kufutiwa leseni.
Ingekua ya mtu binafsi Mmiliki angewekwa ndani kwahiyo nashauri na hili Waziri mwenye Dhamana awekwe mahabusu wakati uchunguzi ukiendelea.
 
Mungu awafanyie wepesi na timu ya uokozi wazidi kufanya juhudi za uokozi, RIP waliotutangulia.
 
Baki mirembe milele walahi
Kwani ulonisikia nikisema mimi ni kichaa kama huyo mungu wako?.
Nikiwa na litoto kama wewe nalirudisha tumboni kwa mamayake litoke kama bld.
 

Hawajapata idadi kamili ya watu waliokuwemo?kwani hicho kivuko ni sawa na daladala la kariakoo ambalo watu hupanda tu?
Hata kama tiketi zipo hakuna mfumo wa kurekodi, nadhani ni kama pale feri magogoni
 
hahaa haaa
 
Dah, poleni jamanini. Mungu atupe nusra! Na atuhifadhi na haya majanga. Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…