Chombo kimepinduka na hakijazama chote. Huenda kuna sehemu maji hayajafika kuleta madhara ya kifo. Baadhi ya watu wanaweza kuwa maeneo hayo.Amekaa majini masaa zaid ya 40 hakuna oxygen ameishije wataalamu nawaomba msaada Ila hapa kuna maswal mengi
Mungu ni mkuuPicha yake iko wapi? Sasa Mkuu wa mkoa bado yuko ofisini? Jamani Tanzania!!! ndo viongozi wetu. Hata kutafuta jenereta likawashwa uokozi ukaendelea walishindwa?? Hatuna viongozi nchi hii. eti " tunasitisha uokoaji kwasababu ya giza"
Hii inalogic kbsaMhuuuu.... Siku zote alikua wap mbona akuonekana....?
Au hakua kazini kuogopa ukubwa wa kesi ikabidi azamie aonekane alikuepo.....?
Ya Mungu mengi.
HahahahaYupo hai!! Ila hali yake siyo nzuri sana
meli ilikuwa imezama,katika harakati za kuokoa wahanga,waokoaji wakafikia maamuzi ya kuitoboa meli ili wawatoe wahanga,maana walikuwa hai ndani ya meli wakati meli iko ndani ya maji.sasa ilipotobolewa ili kuokoa watu,na maji nayo yakapata pa kuingilia ndani ya meli Na meli ikazama zaidi Na kusababisha wote walionaswa kufa.Asante sikuwahi jua,nahisi na wengi hawajui kama mm kuwa ilizamishwa makusudi,Nilijua ni ajali ya kawaida .
Tupia Uzi wake mkuu kama wajua kwa undani.
Asante
Clip iko wapHahahaha
Angalia clip wewe!
Jamaa mzima kabisa walahi
Kutokana na msiba uliolikumba Taifa na Mkuu katangaza Siku NNE za maombolezo.
Je tunaomboleza tukiwa job au home?
Inasekana amesema ndani wapo wenzake wawili wamebakiaMhandisi alijipaka oil kama kinga dhidi ya madhara ya maji. Pamoja na kuzuia digestion ili kulinda hifadhi ya chakula mwilini
Tafadhali fafanua kidogo hasa namna inavyofanyika!!!Mhandisi alijipaka oil kama kinga dhidi ya madhara ya maji. Pamoja na kuzuia digestion ili kulinda hifadhi ya chakula mwilini
Acha ujinga Nanga wewe.. Andika MV alaaa!!!Kama ujaelewa pita hivi