ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Umeandika upuuzi wa hali ya juuSerikali ya wanyonge inaponunua ndege za mabilioni ya pesa za Watanzania masikini kwa ajili ya kupanda matajiri wachache na kuacha kununua kivuko cha wananchi masikini cha kiasi cha bilioni 2 ni kituko cha karne
Wengine tumekulia maeneo hamna ziwa lakin tunajua kwa kiasi fulan je tulijifunzaje?Na watu wa tabora waogelee kwny bahar gani??
Je ndio laana imefika ya kagera?Changia Kwa Kadiri Ya Uwezo Wako. Wakila Watajijua Wao
Maana Pesa Au Mali Ya Dhuruma Huwa Na Kalaana Fulani.
Noo naisikitikia idadi ya watu inavozidi kuongezeka ilikua 131 mpk 209 mkuuNdo leo umepata Taarifa eeh?? Unastahil viboko bahat yako
We upo kwenye pointGENTAMYCINE Mkuu upo sahihi hii ajali ni AJALI km ya Basi la abiria, Treni au Ndege
unaambiwa hicho kivuko kilbeba nguzo za Tanesco, magunia ya mahindi na nafaka nyingine kutoka Mnadani na abiria kibao,
walibobakiza km mita 50, au hata zingelikuwa 10. ajali ni ajali
kile kishindo tu cha kupigwa na mzigo au kufunikwa na gunia au nguzo mpaka uje uzinduke ni lazima unywe maji na huwezi ogelea asilani
RIP jamaa zetu wote waogeleaji na wasiojua MUNGU awafutie adhabu zenu kwani na sisi hatujui tutafuata kwa ajali gani, hata mbu au njiwa anaweza kukugonga
View attachment 874650
Majizi sana yaani yanafaa yawekewe camera kila sehemuSure mkuu
Bahati nzuri wanashughulikiwa ila yapaswa wafilisiwe.lazima wametajirika
Just imagine serikali inajua ni abiria 100 wewe unaweka 300 na zaidi afu hapo pia kuna siku unaeza danganya walikua 95
Na mshahara mwisho wa mwezi pia unaingia
Babar gana tena iyo mzee babaHabari ndio hiyo.
Tunaishi kizamani Sana hata kupata habari?Itakuwa wamepokea maagizo kutok juu
Labda ruge angekua mzima angerusha live
Watasema kanunuliwaBREAKING NEWS:
MBUNGE CHADEMA APINGANA NA UPOTOSHWAJI UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA CHAMA CHAKE
Mh Michael Joseph Mkundi
MBUNGE WA UKEREWE ( CHADEMA)
_"Kuhusu hoja yangu niliyotoa kule Bungeni ilifanyiwa kazi na Serikali kwa uharaka sana na vizuri ambapo lilikuwa ni hitaji la INJINI MBILI ambazo Serikali ilitekeleza wito huo na zilipatikana kwa gharama ya (Tsh. Milioni 191) zikafungwa vizuri Mwezi Julai mwaka huu 2018 kwenye kivuko hicho cha MV NYERERE. Suala ambalo lilikuwa bado tunalifanyia kazi ni namna ya kuongeza idadi ya safari, mengne tumuachie Mungu nawashangaa wanasiasa kulichukulia suala hili kisiasa zaidi huu ni ujinga"_
siasa alianzisha mbowe janaSiasa za nn tena muda huu jamani kwenye msiba
Alternatively, tuulize pia. Waathirika na wahanga wa ajali wanaweza kuishtaki Serikali?
Maana nijuavyo kutokuwa na bima, haizuii kushtakiwa kama kwa uzembe wako umeshababisha ajali iliyoleta madhara kwa mwingine. (foreseable danger against foreseable victim)
Umenyo'ngonyea ile mbaya, na badoHaya Bwana tumekusikia
Watu wakijiona wanapumua wanadhihaki wasiopumuaHoja nyepesi kabisa hii Mkuu na usirudie tena kuisema hapa katika ulingo huu ' tukuka ' kabisa wa ' Great Thinkers ' wa JamiiForums. Siku ukipata muda nenda pale Kunduchi Beach waulizie hawa Wavuvi wawili maarufu wa enzi hizo ambao walipewa majina ya Samaki Kulwa ( Madenge ) na Samaki Dotto ( Kudura ) kutokana na Uhodari wao wa Kuogelea na Kuyakata maji utadhani walizaliwa Baharini au wana Undugu na akina Papa na Nyangumi.
Siku moja walienda Kuvua kama kawaida yao tena wakiwa na Wavuvi wenzao ambapo huko mbele Mtumbwi wao ulipatwa na dhoruba kali kidogo kutokana na eneo waliloenda ni la Mkondo wa Nungwi kama lilivyo eneo la Pwani ya Msasani jirani na Nyumba ya Nyerere na lilipo Soko la Samaki la Msasani. Cha Kushangaza baada ya kutokea hivyo dhoruba hao akina Samaki Kulwa na Samaki Dotto pamoja na Utundu na Utaalam wao wote wa Kuogolea ila Miili yao ndiyo iliyokuwa ya Kwanza Kuopolewa huku wakiwa wameshakufa na wale ambao ndiyo walikuwa kama GENTAMYCINE ' mangumbaru ' wa Kuyakata Maji ( Kuogolea ) walijitahidi kidogo hadi wenzao wa Mtumbwi mwingine kuja Kuwaokoa ila wakiwa wameshakunywa sana Vikombe na Matumbo yameumuka.
Wewe unadhani katika hao Abiria wote waliokuwemo katika MV Nyerere kulikuwa hakuna akina Samaki Kulwa na Samaki Dotto? Tena usishangae ukasikia kwamba 95% ya waliopoteza maisha ndiyo wale ' Wajuvi / Wataalam ' wa Kuogolea na hao waliookolewa ndiyo ' Mangumbaru ' wenzangu wa Kuogelea. Kujua Kuogolea hakukupi Wewe 100% ' Guarantee ' kwamba ikitokea dhoruba Majini na Chombo ama kwenda mrama au Kuzama kabisa basi utapona. Halafu tusisahau pia kwamba Siku ikipangwa imepangwa tu.