Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Nadhani hamaanishi umri huyoNina miaka mitano!!
Kwani mafuriko ya Lowasa hayakuishia kwenye kiganganja kimoja tu cha Mh.Kinana??Unawezaji kuzuia mafuriko kwa mkono?
Ajue tu sasa ndio kabisa ameharibu!
Alafu wasitake kuturudisha enzi za ujima!
Kwani sisiem ni chama cha siasa?Kwani mafuriko ya Lowasa hayakuishia kwenye kiganganja kimoja tu cha Mh.Kinana??
UPDATES:Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana
Hizo wanawachangishia akina waitara,subirini kapu lijae muone watakavyo Fanya hao panyaSipingani na utaratibu wa kawaida wa kuchangiana na kuwafairiji wenzetu waliopatwa na huu msiba mkubwa...
Ila serikali yetu badala ya kuongeza nguvu kwenye uokoaji wa watu wanakimbilia kuchangisha rambi rambi...
Hatujasahau
1.rambirambi za luck vicent iliyouaa watoto wetu
2. Rambirambi za tetemeko la ardhi
Je na hizi zitawafikia walengwa???
Ni kweli na siyo kusaidia serikali. Baadhi ya marehemu walikuwa wapitaji tu maana nasikia mwingine kaenda kuzikwa Nansimo Bunda, huyu Nani atamkumbuka na rambirambi siku hizi ni dili?Vyama vya upinzani haswa CDM iliyo na MBUNGE wa Ukerewe ilibidi wawe mstari wa mbele kusaidia wahanga wa tukio husika
Hiyo hela waliotoa tigo sijui itafika na kama ikifika, sijui itafika yote?UPDATES:
---------------
IDADI YA WALIOFARIKI YAFIKIA 209.
TIGO YATOA RAMBIRAMBI MILIONI 150.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isaac Kamwelwe, amesema miili iliyoopolewa hadi sasa ni 209.
Waziri Kamwelwe amesema zoezi la uokoaji linaendelea na kwamba miili iliyotambuliwa hadi sasa ni 172.
Jamaa ana akili sana huyuHuyu jiwe ni disaster katika nchi hii View attachment 874784
Kashashusha bendera zake za kwenye makoti??? Maana si mko katika maombolezo ama???Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana