From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
You are very well informed comrade. Bravo.Kweli kabisa
Hata tukio la DB COOPER kuteka ndege na kutorokea mlango wa nyuma lilifanya watengeneze kifaa kinachoitwa cooper vane kwenye ndege na pia sheria mpya
Hawa Tigo kama tigo vile.Narudisha line jtatu.Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Wanazipangia aisee
Ila kuna watu waliumbwa bila aibu😱😱
Hivi mtu na akili zake timamu anawezaje kuzipangia matumizi mengine pesa za rambirambi?
Mungu ni mkuu...jina lake litukuzweee...
Utasikia mtu anasema hakuna Mungu....
Ulaaniweeee...[/QUOT}
Wanaume wa dar haoSi umseme mkuu
Chakubimbi ndo nani ? Ninja au ?Amesha mtuma chaku bimbi
Wanazipangia aisee
Hilo ndio kubwa la wanafiki nchi hiisi una maana jiwe, yeye kwenye kila tukio anatuma wawakilishi, mbona tayari mkuu
umoja wetu kama watanzania unapotea kwa kasi sana. Tumewekeza kwenye vitu badala ya utuAmekwisha tepeta huyo!
Aleppo acha utani. Kwa hiyo tunaongozwa na "ma_mental". Kwa nini wanashindana kuhamisha mawizara dodoma,iliko mirembe,hospital kuu ya magonjwa ya akili.Makomeo alikosea kusema amechagua kichaa mwenzake sasa kiuhalisia ndio yeye Kenge mwitu
Bwana Slow slowChakubimbi ndo nani ? Ninja au ?
Ha ha ha huyo mtu hua simuelewi kabisa hakajawahi kuongea pointBwana Slow slow
Ndio maana ya chakubimbiHa ha ha huyo mtu hua simuelewi kabisa hakajawahi kuongea point
Asante mkuu umetisha na vile anatafuta sura ya uzuni 🙄Karibu JF.
Anajaribu ku_download sura ya huzuni,inagomaNdio maana ya chakubimbi