MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Hata sasa tunachezeana bado, kumbuka chama ni kilekile.mtuvumilie tunanyoosha nchi tulichezewa sana hata hz ajali ni matokeo ya kuchezewa
Kiranga ni mtata kwelikweli anasema hakuna MwenyeziMungu lakini hapo hapo kuna uzi wake huko anasema "Makosa 10 aliyoyatenda MwenyeziMungu" sasa sijui Mungu yupiDona embu naomba umtag mtu mmoja anaitwa kiranga tafadhali
Sumatra anasimamia vivuko?TEMESA ndo anaesimamia vivuko,,,
Bahati mbaya ndugu yangu innocent abiria huwa ni innocent and ilitrates kwenye masuala ya usafiri. Na kwa mujibu wa sheria wasimamizi wa vyombo vya usafiri ndio watu technical ambao wanawajibika na chombo cha usafiri kama kiko fit kubeba abiria na kwa kiwango gani. Abiria wa kawaida hawezi kuyajua hayo kwamba hii meli au feri au basi inatakiwa ibebe watu wa ngapi. On the other hand abiria hajui hataka akiona meli au feri limejaa consequences za kujaa huko. Usiwatetee hao wasimamizi wa hiyo feri lazima wajibu mahakamani vifo vya abiria innocent waliopoteza maisha yao kikatili kwa sababu ya tamaa za pesa kwa wachache wajinga na wapumbavuKwani watu walikuwa awaoni feri imejaa kosa la marehemu
Ndiyo maana amesema tusitumie njia za uzazi ili tufidie pengo la wanaokufa na tuwe idadi kubwa ya wajingaViongozi wetu mnapoongea na wananchi juu ya ajali hii ya MV Nyerere,toeni maneno ya faraja,sura zenu ziwe za kufariji huu siyo wakati wa kutoa maneno ya kutishia,mikwara mingi.
Watu,wafiwa na waliookoka kwenye ajali wanataka kusikia maneno ya Faraja na siyo mikwara,kutishiana.Yameshatokea ni wakati wa faraja,tuwe wamoja tuwafariji ndugu zetu,tujifunze kwa makosa haya maana yalitokea Mwanza yakatokea Zanzibar mara mbili na sasa yamerejea Mwanza,sababu ni zile zile,uzito uliopitiliza.
#Uwajibikaji.
Kwa hiyo marehemu na majeruhi ndo wenye makosa?Uzepe upo kwa abiria
Kama abiria anaweza kuchunga mzigo wake inashindikana nini kuchunga maisha yake
Na muda wa kuinyoosha mliotupa haututoshi , tuongezeeni mda ili tuendelee kunyosha inchimtuvumilie tunanyoosha nchi tulichezewa sana hata hz ajali ni matokeo ya kuchezewa
Viongozi wetu mnapoongea na wananchi juu ya ajali hii ya MV Nyerere,toeni maneno ya faraja,sura zenu ziwe za kufariji huu siyo wakati wa kutoa maneno ya kutishia,mikwara mingi.
Watu,wafiwa na waliookoka kwenye ajali wanataka kusikia maneno ya Faraja na siyo mikwara,kutishiana.Yameshatokea ni wakati wa faraja,tuwe wamoja tuwafariji ndugu zetu,tujifunze kwa makosa haya maana yalitokea Mwanza yakatokea Zanzibar mara mbili na sasa yamerejea Mwanza,sababu ni zile zile,uzito uliopitiliza.
#Uwajibikaji.