Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hii habar ingekuwa dsm hii tungepata update kila baada ya dk 10.. Vp jamanii huko mwanza hakuna member wa jamiii forum au... Mbona updates hamna
 
#UPDATES:Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere limesitishwa kutokana na giza, na litaendelea kesho alfajiri.ambapo hadi sasa waliyookolewa wakiwa hai ni 37, waliokufa 44.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.

Hivi hii si aibu hivi kwa dunia ya sasa unaweza kutoa kauli za kijinga namna hii yaani watu walale kwenye maji hadi asubuhi hii ni nchi au ni genge la shetani
 
Shetani ni akili yako inavyokutuma
 
Captain na crew wake wanalakujibu juu ya hii ajari..
 
Kila kitu Magufuli duuu nyie watu hamuwezi kujadili jambo bila kumuhusisha Magufuli? Halafu kabla hujalaumu je umetathmini ni kwa namna gani wanaweza kuingia kwenye maji usiku huu na kufanya uokoaji? Umelinganisha risk zinazoweza kujitokeza kabla ya kukaa tu na kuponda kila kitu?
 
Back
Top Bottom