Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kuna uchaguzi Dar kata ya Kiwalani na buguruni pia!!yani hvyo ndo vipaumbele vyao jamani!!Viongoz wetu HAWAJUI KITU GANI HASA WANANCHI WANAHITAJI katika Muda mwafaka.
Ngoja wamalize Uchaguz Jimbo la liwale mwezi ujao
Billion 1 inateketea tena kumrudisha Bungeni mtu ambaye mwez uliopita alijiuzulu ubunge
Shithole leaders
Hii nchi ukiwaza inatia hasiraa