Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Viongoz wetu HAWAJUI KITU GANI HASA WANANCHI WANAHITAJI katika Muda mwafaka.

Ngoja wamalize Uchaguz Jimbo la liwale mwezi ujao

Billion 1 inateketea tena kumrudisha Bungeni mtu ambaye mwez uliopita alijiuzulu ubunge

Shithole leaders
Kuna uchaguzi Dar kata ya Kiwalani na buguruni pia!!yani hvyo ndo vipaumbele vyao jamani!!

Hii nchi ukiwaza inatia hasiraa
 
hebu wataalam mtusaidie, mtu anaweza kukaa majini kwa muda gan kabla ya kuokolewa?
 
Habari hii ni mbaya sana kusikia ndugu zetu kupoteza maisha katika harakati za kupambana na changamoto za maisha
 
hebu wataalam mtusaidie, mtu anaweza kukaa majini kwa muda gan kabla ya kuokolewa?
Kama atakuwa amevaa life jackets atakuwa anaelea juu ya maji na atakuwa ana uwezo wa kupumua vizuri.

Hivyo basi ndani ya masaa 5 ikiwa viungo havijashika baridi ,itakayopelekea Moyo kushindwa kufanya kazi vizuri mtu huyo ataokolewa vizuri tu zaidi ya hapo ni habari nyingine.

Lakini ikiwa hana Life Jackets na amezama chini ya Maji ndani ya dakika 15 bila kupata msaada wa aina yoyote ile hiyo ni habari nyingine (kifo).
 
Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu atunusuru. Poleni sana ndugu zetu.
Angalizo:
Zamani wazee na viongozi wa kimila walipoona majanga walitoa kafara kwa mizimu wakafunga na kuomboleza wakiomba kusamehewa. Vivyo basi tuziogope dua za wanaodhulumiwa na tuombe sana toba maana hakuna anayeujua mwisho wake. Tamaa mbele mauti nyuma. Kadri dhulma zitakapozidi ndivyo mapigo yatakavyoendelea. Ni wajibu wetu kukumbusha tu.
 
Huyo mbunge ni kama alitabiri kabisa, akili yangu inanituma niamini kuwa hicho kivuko ni lazima kitakuwa kilizidisha mzigo.
 
Back
Top Bottom