Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Huyu mkuu wa mkoa anaruka kila aina ya viunzi,lakini hana muda mrefu ya u RC wake kanda ya ziwa,
Kama ulilijua hilo kuwa wewe ni mkuu wa mkoa tu na unapokea ushauri kwa divers,ni kiherehere gani cha kututangazia wananchi kuwa, “uokoaji unasitishwa kwa sasa kutokana na giza zoezi hili litaendelea kukikucha”

Aseee!!!!![emoji35][emoji35]
hio kauli inauma saana hususan kwa mtu aliefiwa na ndugu/rafiki/mama/baba/mtoto na wengineo katika ajali hio
 
Bro sisi tunaangalia jiwe kasema nini we subiria wiki ijayo atatoa matamko yasiyo kua na kichwa wala miguu na uyo mongela Ukerewe ndo kwao so inamaanisha yeye ndo kapigilia msumari wa mwsho kwe makaburi ya nduguze giza leo linaondoa uhai wa wananchi na wao wamefika uko kwa kutumia chopa au speedboat means wanajua kila kitu kuhusu ivyo vivuko vya kanda ya ziwa
 
Shs 5000 za kupigia brush ndipo nilipoelewa kama mheshmiwa hayuko serious na rushwa
 
Inaumiza sana kwakua andiko lako linamfano hai.
Hakika jiwe na wateule wake Mungu awatizame kwa 3d
 
Tununue Chopper zenye taa halafu akina Waitara na Mtatiro tutawanunua kwa pesa ipi?
 
Msajili wa vyama nae akajifanya amelala.
 
Duh haya ni majanga na aaibu kwa taifa la tz yaani serkal yenye misiraha na vikosi vya maaskar wote hao hatuna wataalam jmn wakat kila mwaka wa uchaguzi misiraha mipya inanunuliwa, ni rahisi kujiandaa na chaguzi na sio majanga tz buana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nauliza tu, hivi tukio la leo huko Ukara inakuwaje kutekwa na ccm peke yao wengi wakiwa wamevaa magwanda ya kijani bila kusikia hotuba kutoka kwa kiongozi ye yote wa Upinzani?
Ccm wanajua walichokifanya ndio maana wamehodhi tukio hilo, ccm ingekuwa iko kwa manufaa ya walalahoi leo hii tusingekuwa tunazungumza tukio la kuzama kwa kivuko hicho

Wako busy kununua akina waitara na kurejea chaguzi za mabilioni ya fedha za masikini ili kulinda madaraka huku wananchi masikini wakiteseka na vivuko vilivyochakaa!

Hii ndio Tanzania inayoongozwa na rais mzalendo kweli kweli dhidi ya masikini wa nchi hii
 
Mkuu usiache kutolea maelezo juu ya uzembe unatokea na nini kifanyike,maana kama taifa tunahitaji kujiokoa wenyewe wananchi kwa kuchukua taadhali....risk is uncertain
 
Ccm bana wakijistukia washajikojolea wenyewe wanahaha kujifunika wanasahau harufu haifunikiki, tulieni wananchi tunawafahamu vizuri hamkuanza leo kutuchukulia cc mandondocha.
 
Daah! wewe kweli wa kimataifa, kwa uelewa wangu mdogo huwa najua kanuni ya first emergency responder inasema "Your safety is first, so leave the scene if you are at risk, don't be the next victim.

 
hilo halikuhitaji hata uwe mtaalam ndiyo utoe maamuzi kama kiongozi.
wewe watu wapo ndani ya maji unashauriwa kuahirishwa uokozi kisa taa seriously...ok fine...hata kuwahamasisha psychologically.. waendelee kufanya kazi umeshindwa! lord have mess...
 
Jibu lako ni sahihi kabisa na nimependa ulivyoacha wazi nafasi ya mjadala kuhusu mkanganyiko uliopo kwenye hizi taasisi za serikali katika kufanya kazi zao. Hili pia naliona kwenye baadhi ya taasisi kama TBS na TFDA nakadhalika. Serikali inabidi ipitie mfumo wake kabla majanga mengine hayajatufikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…