Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mfano mzuri ni Kigwangala alivyopata ajali Vs Mv Nyerere kusitisha shughuli za uokoaji mpaka asbh
 
Aisee me nlijua imezama kumbe ilipinduka afuu pale itakuwa kina kifupi serikali ingefanya Juhudi za dhati wangeponaa wengi
 
Siku zote mchawi ndio huwa analia na kujionyesha sana msibani
Mkuu vp ulishawakimbia hao rafik zako?? We si ulikua kindak ndak, wamekufanya nn hao wenzako?
 
Wacha niagizie nusu kilo ya sehemu ya mbavu pamoja na ndizi 4.

Wakati nashushia na kinywaji nitajaribu kusoma tena huu uzi. Nisipoelewa silipi bili.
 
nifanunulie basi panzi
Nuhu alisimamia na kidhibiti safina pamoja na uzito uliokusudiwa na haikuzama!

Sumatra wangesababisha tembo, twiga, Noah! Kuishia majini (kuzama kama mv. Nyerere) kama picha zinavyojileza.
 
Mkuu hujui kama kwenye jamii yetu michawi ndiyo inayowahi msibani mapema kujionyesha na kukaa viti vya mbele, inaonyesha huzuni kuliko hata ndugu za marehemu wakati yenyewe ndiyo iliyosababisha.
 
Ni kweli kabisa.
Hivi walikosa hata taa za mchina ?
Au Generator za kawaida za kuwasha taa.
Watu wanatapatapa kujaribu kujiokoa halafu waokoaji wanaenda kulala usingizi mnono nyumbani..!
Hii ni Tanzania Pekee
 
Nuhu alisimamia na kidhibiti safina pamoja na uzito uliokusudiwa na haikuzama!

Sumatra wangesababisha tembo, twiga, Noah! Kuishia majini (kuzama kama mv. Nyerere) kama picha zinavyojileza.
Huo mpango wa Mungu
 
Hapo penye uzio na mnara ndipo kivuko kinapoanza kupiga kona.
 
Ni maajabu ya mwaka... Labda walikuwa na uhakika ya kwamba hakuna abiria aliyekuwa hai kwa usiku ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…