lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
nifanunulie basi panziKichwa cha panzi!
Ungekaa kimya ingekusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nifanunulie basi panziKichwa cha panzi!
Ungekaa kimya ingekusaidia
Aisee me nlijua imezama kumbe ilipinduka afuu pale itakuwa kina kifupi serikali ingefanya Juhudi za dhati wangeponaa wengiView attachment 875419
Kwa wakerere, wakara, wajita, wakwaya na waruri kilichotokea ni kupinduka (KWIFUMA) na siyo kuzama (KUSIKA). Kama ingesika (kuzama) ni hakika wangetumia uzoefu wao wa kuogelea na wangeokoka wengi. Kwa vile imepinduka ikawafunika ndiyo maana wamekufa kibudu na wengi kiasi hicho. MUNGU AWAPE PUMZIKO LA AMANI
Mkuu vp ulishawakimbia hao rafik zako?? We si ulikua kindak ndak, wamekufanya nn hao wenzako?Siku zote mchawi ndio huwa analia na kujionyesha sana msibani
Nuhu alisimamia na kidhibiti safina pamoja na uzito uliokusudiwa na haikuzama!nifanunulie basi panzi
Kwani wewe hujasikia pale Mheshimiwa mmoja kasema "katika sherehe hizi..."MBONA WANAONEKANA KM WANATABASAMU NA INGALI WAPO MCBANI.
Hata huyu ngozi yake imeanza kuwa ngumu.Hawa wenzetu ngozi ngumu,isije kuwa sio binadamu hawa
Huo mpango wa MunguNuhu alisimamia na kidhibiti safina pamoja na uzito uliokusudiwa na haikuzama!
Sumatra wangesababisha tembo, twiga, Noah! Kuishia majini (kuzama kama mv. Nyerere) kama picha zinavyojileza.
Hapo penye uzio na mnara ndipo kivuko kinapoanza kupiga kona.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema baadhi ya pesa zitakazopatikana katika michango ya Watanzania zitatumika kujenga uzio na mnara katika makaburi ya watu waliokufa katika ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere.
Fedha hizo zinachangwa kupitia akaunti maalumu iliyofunguliwa katika benki ya NMB pamoja na namba maalumu ya Tigo kupitia simu ya mkononi.
Soma zaidi: RC Mongella awapongeza wananchi, wavuvi wa Ukara
Akizungumza katika shughuli ya mazishi leo Septemba 23,2018 visiwani Ukawa wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza amesema baadhi ya miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo fedha hizo hazitatumika katika shughuli yoyote nje ya tukio hilo.
"Fedha hizi ni za wafiwa hivyo hatuna budi kuzitumia kulingana na mwenendo wa tukio," amesema Majaliwa.
Amesema ili kuhakikisha wananchi wa eneo hilo hawapati tabu Serikali iko katika mkakati wa kuleta kivuko cha muda.
"Tutafanya ukarabati wa kutosha katika baadhi ya vivuko ikiwemo Mv Misungwi, Sengerema ili kuimarisha usafiri wa majini katika maeneo yote," amesema Kassim.
Soma zaidi: Polepole: CCM kuisimamia Serikali ili kuimarisha usafiri Ziwa Victoria
Majaliwa amewaomba Watanzania kuwatia moyo wafiwa badala ya kuwaambia maneno yanayoweza kuwasababishia maumivu.
"Watu hawa wamepoteza ndugu zao wa muhimu hivyo ni vyema kuwapatia maneno mazuri yanayotia moyo badala ya kuwajaza maneno ya upotoshaji na tuiache Serikali ifanye jitihada zake," amesema Majaliwa.
Amesema muda wowote kuanzia sasa tume ya uchunguzi itaundwa ili kubaini chanzo cha ajali hiyo na Serikali ikiwa tayari iko katika mazungumzo juu ya matumizi ya Meli ya Mv Nyahunge.
Kivuko cha Mv Nyerere mpaka sasa takwimu zinaonyesha kilikuwa na watu 265 ambao kati yake 224 wamepatikana wakiwa tayari wamepoteza maisha huku 41 wakipatikana wazima.
Unamaanisha nini?Perdiem walizolipwa hao viongozi wote walioko huko Ukara na gharama za logistics za wao kuwepo huko hazitoshi kujenga huo ukuta pamoja na mnara?
Mungu ampangie jiwe akufe! Imekaaje hii mkuu!Huo mpango wa Mungu