johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu hao ndio Chadema bhana!Kazi ipo. Kama na wanachadema wanaunga mkono kauli hii, hakika wameishiwa.
Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Wenyewe wana amini wanapendwa tu, hata wafanye ujinga gani wananchi wata endelea kuwapenda tu, dawa ni kutoa somo 2020, yoyote atakayenisogelea kuomba kura kutoka CDM nitamtemea mate tu, mtu gani una kejele vifo vya watu ?Kazi ipo. Kama na wanachadema wanaunga mkono kauli hii, hakika wameishiwa.
Kazi ipo, duh!Mkuu hao ndio Chadema bhana!
Kama walivyotuma kuwakilisha msiba wa lucky vicent, ndesamburo,bukoba na mingine mingi?Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Upumbavu wao utawagharimu 2020.Wenyewe wana amini wanapendwa tu, hata wafanye ujinga gani wananchi wata endelea kuwapenda tu, dawa ni kutoa somo 2020, yoyote atakayenisogelea kuomba kura kutoka CDM nitamtemea mate tu, mtu gani una kejele vifo vya watu ?
Mkuu usiumize kichwa ajali hajatokea kanda yao pendwa ya Kaskazini wako busy na kumsajiri Maalim tu!Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Haujaona Mada ilivyokuwa ya kipumbavu? Umeona majibu yangu sio,Mnatoa tu maneno ya kejeli, hivi angekuwa ni ndugu yako amefariki ungeropoka hivi? Kwa tabia hii , kejeli hizi mnategemea kweli Ukerewe itarudi CDM 2020 ? Au mnasubiri mje kusingizia mmeibiwa?
Viongozi wote wa serikali waliwakilishwa, Mbowe ameona ni sahihi kwenda kutoa kejeli Dar na sio kwenda kutoa neno la faraja kwa wananchi walio mpa jimbo tena toka 2010. Kama Mbowe alikuwa na uhuru wa kutoa kejeli na uzushi Dsm ambako sio jimbo lake ameshindwa nn kwenda kutoa neno la faraja kwa wafiwa?Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.
Uongozi nzima wa mkoa wa Mara ukiongozwa na RC Malina ulikuwepo pia kasoro Bulaya, Rioba, Matiko na Heche, yaani Chadema MNA roho ngumu sana!Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.
Wangekanyaga huko Magufuli angewazamisha kama wale 200+Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Lucky Vincent ya Arusha shule ya mchaga mwenzao akina Mbowe walikufa wanafunzi 30 kwa ajali Chadema ilihamasisha michango ya wanachadema nchi nzima Na ilitoa rambirambi mamilioni Na kushiriki Mazishi . Ukerewe Jimbo lisilo la kaskazini wamekufa Mia mbili Na zaidi Chadema hata shilingi Mia haijatoa ya mchango Na wamemsusia mbunge wa Ukerewe ajijue . Chadema kuna ubaguzi tena mno.Sio Siri misiba yao ni ya kitaifa ya wenzao ni yao watajijuaUkerewe Sio Moshi
Mbowe huko Pemba anambembeleza maalim Seif achukue nafasi ya Lowassa!Haujaona Mada ilivyokuwa ya kipumbavu? Umeona majibu yangu sio,
Exactly!Hela ipewe watoto au wazee wa wafiwa ili ipate kuwakizi manake wengine walikuwa wategemezi wao. Sasa huo mnara utamfaidisha nini mfiwa? Bora mpatie hela japo ajifungulie ajira na kuanza kujitegemea mwenyewe. Kama serikali inataka kuweka mnara wa kumbukumbu itowe hela yake wenyewe sio za michango.
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️