Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka muziki!wewe anza maombi!
Umeolewa kweli wewe?maana naona ni kama unatema ny'ongo baada ya kupigwa kibutiMongela wasamehe bure.Hizo ni hasira na frustrations zao za kushindwa chaguzi wameaamua KU STEAM OUT FRUSTRATION zao kwenye hiyo ajali.
Wamegeuka ghafla wasomi na wataalamu wa vivuko.Nyoooo!!!! wangekuwa wasomi na wataalamu si wangetumia usomi na utaalamu wao kushinda chaguzi?. Wakishindwa chaguzi hata za udiwani tu hugeuka na kujifanya wasomi na wataalamu waliobobea wa ku analyize mambo ya kitaifa na kimataifa!!!! ha ha ha ha
Hakuna binadamu yoyote asiyependa kufarijiwa, CDM wangeenda kuwafariji wana Ukerewa, wafiwa, wapiga kura wao. Jimbo la Ukerewe lipo CDM tangu 2010, kweli CDM wameshindwa kuwapa heshima au hata faraja tu wana Ukerewe?Wangekuja kingebadilisha nini?
Inafahamika hii ajali ni sababu ya awamu hii kuleta ubishi wa kipumbavu.
They can't. Shame on them.Mbowe and company where are you? Please respond to the allegations leveled towards you by the aliens!
Hakukuwa na takwimu yoyote on how many passengers were actually on board. Hicho kinachoitwa "takwimu" ni idadi ya marehemu na survivors waliopatikana mpaka sasa. Hivi shughuli ya "uokoaji" imesitishwa rasmi?Kivuko cha Mv Nyerere mpaka sasa takwimu zinaonyesha kilikuwa na watu 265 ambao kati yake 224 wamepatikana wakiwa tayari wamepoteza maisha huku 41 wakipatikana wazima.
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Hadi mzee wao ndesamburo alifariki akiandika cheque ya rambirambi..kweli asiyekujua hakuthamini.Kwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
Yaani..huyu mbowe si alijidai kwenda kwenye msiba wa baba mkwe wa kikwete..sasa nini kimewashinda kwenda kuwazika watu waliowasaidia kuongeza ruzuku ya chama? Umuhimu wa wakerewe ni kwenye kura tu na ruzukuMisiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskazini
Hadi Papa wa Vatican na Rais Putin wametuma salami za pole...... Lakini Mbowe wa Ufipa huko busy na maalim Seif...... Dash Chadema Mungu anawaona lakini!Msiba ni wa Chadema au Watanzania ? Jiulize Watanzania ni nani na setikali ni nani, jibu utapata.
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,
Hao viongozi wanawindwa kuliko maelezo,ndio mana walipotoa pole tu serikali ya wanyonge ikaibuka na kutangaza hali ya hatari