Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakutana 2020 binafsi nitatumia nguvu yangu ndogo kuhakikisha familia yangu hakuna anayetoa kura CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo CCM kabla ya 2015 wamepewa funzo saivi zimehamia CDM , tukutane 2020.
Yaani wewe kwa mamilioni ya cdm wewe ni sawa na pimbi tuTutakutana 2020 binafsi nitatumia nguvu yangu ndogo kuhakikisha familia yangu hakuna anayetoa kura CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo CCM kabla ya 2015 wamepewa funzo saivi zimehamia CDM , tukutane 2020.
Wakienda kuwazika wataambiwa wanafanya maandamano yasiyokua ya halali...
Chadema haipaswi kuonekana inakusanyika kwa namna yoyoyte ile...
Cc: mahondaw
Dish lako limecheza,tafuta fundiKuua aue Nani? na kuzika azike Nani ? Aliyeuwa ndie atakae zika
Kodi baba, watu washawekewa malengo kuwa kila siku wapeleke kiasi kadhaa la sivyo kazi huna, we huoni hata polisi wanavyotukomalia barabarani ndio hivyo mkuuKwani watu walikuwa awaoni feri imejaa kosa la marehemu
Mimi sio diver, ila nina uelewa wa masuala ya deep sea rescue/operations (Oil platforms etc). Ndio sababu nikakueleza huko awali kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa wala mihemko mkuu.Mkuu, sijapingana na Mkuu wa Mkoa ila napingana na mtu kama wewe. Wewe ni Diver?
Tuliza munkariNimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Nyie mbn mlikula feza za maafa yalePesa yote wamekula chadrama we acha tu walahi
Yaani wewe kwa mamilioni ya cdm wewe ni sawa na pimbi tu
Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Hadi Papa wa Vatican na Rais Putin wametuma salami za pole...... Lakini Mbowe wa Ufipa huko busy na maalim Seif...... Dash Chadema Mungu anawaona lakini!
Ndugu yangu, nikuombe tuyaache haya, ungejua kuwa mimi siyo mwanasiasa, ungenielewa. Yote, tumeshaambiwa, first rescue divers walikuwa ni wale wavuvi wadogowadogo! Tuishie hapo.......Mimi sio diver, ila nina uelewa wa masuala ya deep sea rescue/operations (Oil platforms etc). Ndio nikakueleza huko awali kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa wala mihemko mkuu.
Kwa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha ilikuwa lazima kushiriki ila kwa wana Ukerewe Mwanza mnasingizia mmekatazwa, hivi msiba una mwaliko au kibali? Majibu yenu ni ya dharau sana. 2020 si mbali na sisi tutajibu, CDM akiniomba kura yangu namtemea mate sawa man dharau mnazo onyesha saivi.
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,
Hao viongozi wanawindwa kuliko maelezo,ndio mana walipotoa pole tu serikali ya wanyonge ikaibuka na kutangaza hali ya hatari
Ngoja..daraja la mto wami si bovu.?.na mabasi ya moshi na arusha yanapita kwa wingi..tutaona kama hawataenda ikitokea shida..Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.