Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mongela wasamehe bure.Hizo ni hasira na frustrations zao za kushindwa chaguzi wameaamua KU STEAM OUT FRUSTRATION zao kwenye hiyo ajali.

Wamegeuka ghafla wasomi na wataalamu wa vivuko.Nyoooo!!!! wangekuwa wasomi na wataalamu si wangetumia usomi na utaalamu wao kushinda chaguzi?. Wakishindwa chaguzi hata za udiwani tu hugeuka na kujifanya wasomi na wataalamu waliobobea wa ku analyize mambo ya kitaifa na kimataifa!!!! ha ha ha ha
Umeolewa kweli wewe?maana naona ni kama unatema ny'ongo baada ya kupigwa kibuti
 
Unajua ndo maana zitto kasema hawa viongoz wetu wawe examined! Wako out of touch kwani wazir mkuu hana hela ya kuweka fence na mnara? Mpaka rambirambi zetu zitumike ktk hilo?
 
Wangekuja kingebadilisha nini?
Inafahamika hii ajali ni sababu ya awamu hii kuleta ubishi wa kipumbavu.
Hakuna binadamu yoyote asiyependa kufarijiwa, CDM wangeenda kuwafariji wana Ukerewa, wafiwa, wapiga kura wao. Jimbo la Ukerewe lipo CDM tangu 2010, kweli CDM wameshindwa kuwapa heshima au hata faraja tu wana Ukerewe?
 
Kivuko cha Mv Nyerere mpaka sasa takwimu zinaonyesha kilikuwa na watu 265 ambao kati yake 224 wamepatikana wakiwa tayari wamepoteza maisha huku 41 wakipatikana wazima.
Hakukuwa na takwimu yoyote on how many passengers were actually on board. Hicho kinachoitwa "takwimu" ni idadi ya marehemu na survivors waliopatikana mpaka sasa. Hivi shughuli ya "uokoaji" imesitishwa rasmi?
 
Unalinganisha uokozi wa mtu mmoja vs watu 200 na ushehe?
Acheni maisha ya movie.
 
Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,
Hao viongozi wanawindwa kuliko maelezo,ndio mana walipotoa pole tu serikali ya wanyonge ikaibuka na kutangaza hali ya hatari
 
Serikali next time iwe inasema uongo kuwa uokoaji unaendelea while kiukweli hawapo at job, maana kauli moja tu hasi inachafua hali ya hewa!!!

Ila hata kule Thailand kwenye uokoaji wa wale watoto na kocha wao kuna kpnd waliahirisha due to bad weather condn!!
 
Misiba ya kaskazini wanavyoivalia njuga Chadema lazima iwe ya kichama.Angalia msiba ule wa watoto ambao basi lilitumbukia mtoni Na wa ndesamburo Chadema walikuwa kutwa wako msitari wa mbele .Mbwa wa Nassari aliyepigwa risasi alizikwa kwa heshima zote za Chama wabunge wa Chadema Na viongozi wa Chama walihudhuria msiba ule.Mbwa wa Nassari mbunge wa Arumeru iliyo mikoa ya kaskazini ana heshima na hadhi kwao kuliko hao wakerewe waliokufa na kivuko sababu huyo mbwa ni wa kaskazini wakati hao wakerewe waliokufa Kwenye kivuko si wa kaskazini
Yaani..huyu mbowe si alijidai kwenda kwenye msiba wa baba mkwe wa kikwete..sasa nini kimewashinda kwenda kuwazika watu waliowasaidia kuongeza ruzuku ya chama? Umuhimu wa wakerewe ni kwenye kura tu na ruzuku
 
Wakienda kuwazika wataambiwa wanafanya maandamano yasiyokua ya halali...

Chadema haipaswi kuonekana inakusanyika kwa namna yoyoyte ile...


Cc: mahondaw
 
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,
Hao viongozi wanawindwa kuliko maelezo,ndio mana walipotoa pole tu serikali ya wanyonge ikaibuka na kutangaza hali ya hatari

Wametoa pole au kejeli na uzushi, kwa hiyo Dar wako huru kuropoka ila kwenda msibani mwiko? Hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya ziwa wameshindwa? Au mmeshamtenga Mbunge wenu na wana Ukerewe kwa kukataa tu kushiriki kwenye uzushi wenu?
 
Back
Top Bottom