Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.
 
Jimbo la Ukerewa lipo chini ya CDM ila ndani ya CDM kuna ubaguzi wa kijinga sana. Na uhakika hili balaa lingetokea Arusha au Kilimanjaro CDM makao makuu wangetuma mtu wa kuwawakilisha kwenye msiba.
Kama walivyotuma kuwakilisha msiba wa lucky vicent, ndesamburo,bukoba na mingine mingi?
 
Yule babu yenu upara ingekuwa kiwanda angeenda kuzindua fasta ila msiba wa walalahoi ndiyo hivyo tena anakula zake bata ikulu
 
Wenyewe wana amini wanapendwa tu, hata wafanye ujinga gani wananchi wata endelea kuwapenda tu, dawa ni kutoa somo 2020, yoyote atakayenisogelea kuomba kura kutoka CDM nitamtemea mate tu, mtu gani una kejele vifo vya watu ?
Upumbavu wao utawagharimu 2020.
 
Msitumie neno Kiki ili kuwaziba watu mdomo kwa maovu na uzembe wa serikali kutowajibika, tumezoea na neno la uchechezi, tumezoea neno uvunjifu wa Amani, zote hizo lugha kuwanyima wanasiasa pamoja na wana nchi uhuru wa kuandamana na kuongea.
 
Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Mkuu usiumize kichwa ajali hajatokea kanda yao pendwa ya Kaskazini wako busy na kumsajiri Maalim tu!
 
Mnatoa tu maneno ya kejeli, hivi angekuwa ni ndugu yako amefariki ungeropoka hivi? Kwa tabia hii , kejeli hizi mnategemea kweli Ukerewe itarudi CDM 2020 ? Au mnasubiri mje kusingizia mmeibiwa?
Haujaona Mada ilivyokuwa ya kipumbavu? Umeona majibu yangu sio,
 
Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.
Viongozi wote wa serikali waliwakilishwa, Mbowe ameona ni sahihi kwenda kutoa kejeli Dar na sio kwenda kutoa neno la faraja kwa wananchi walio mpa jimbo tena toka 2010. Kama Mbowe alikuwa na uhuru wa kutoa kejeli na uzushi Dsm ambako sio jimbo lake ameshindwa nn kwenda kutoa neno la faraja kwa wafiwa?
 
Unajifanya hujui! Viongozi gani wakuu ukiacha CCM walikwenda, sana wangeishia mikononi mwa polisi kwa kwenda kwenye majimbo wasiyoyawakilisha. Hata Hugo mbunge hakupewa heshima yake kama mfiwa wa wapigakura wake badala yake akina Polepole ndiyo waliopewa heshima kubwa pamoja na mwenyekiti wa UWT wilaya! Acha hizo CCM haiwezekani.
Uongozi nzima wa mkoa wa Mara ukiongozwa na RC Malina ulikuwepo pia kasoro Bulaya, Rioba, Matiko na Heche, yaani Chadema MNA roho ngumu sana!
 
Nimejiuliza sana ili swali hasa baada ya kusoma katika gazeti la Chadema liitwalo Tanzania Daima kwamba uongozi unakaribia kumsajili maalim Seif katika chama chao. Ndiposa najiuliza mgombea urais mtarajiwa ndio kipaumbele cha Chadema kiasi cha kumtelekeza mbunge wa Ukerewe my Joseph Mkundi?!!!
Wangekanyaga huko Magufuli angewazamisha kama wale 200+
 
Ukerewe Sio Moshi
Lucky Vincent ya Arusha shule ya mchaga mwenzao akina Mbowe walikufa wanafunzi 30 kwa ajali Chadema ilihamasisha michango ya wanachadema nchi nzima Na ilitoa rambirambi mamilioni Na kushiriki Mazishi . Ukerewe Jimbo lisilo la kaskazini wamekufa Mia mbili Na zaidi Chadema hata shilingi Mia haijatoa ya mchango Na wamemsusia mbunge wa Ukerewe ajijue . Chadema kuna ubaguzi tena mno.Sio Siri misiba yao ni ya kitaifa ya wenzao ni yao watajijua
 
Hela ipewe watoto au wazee wa wafiwa ili ipate kuwakizi manake wengine walikuwa wategemezi wao. Sasa huo mnara utamfaidisha nini mfiwa? Bora mpatie hela japo ajifungulie ajira na kuanza kujitegemea mwenyewe. Kama serikali inataka kuweka mnara wa kumbukumbu itowe hela yake wenyewe sio za michango.

Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Exactly!
 
Back
Top Bottom