Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Haujaona Mada ilivyokuwa ya kipumbavu? Umeona majibu yangu sio,
Msema ukweli ni mpenzi wa Mola walahiViongozi wa upinzani wamekasilishwa sana na tamko la mbunge wa Ukerewe (CDM) kuwa, mapungufu aliyowasilisha Bungeni, serikali iliyafanyia kazi! Viongozi wake wamechukulia kuwa amewazodoa kwa kiki waliyotarajia kuipata kupitia msiba huu.
Swafiiii sana walahiKuuliza ushiriki wa CDM ni upumbavu? Kuuliza kwa nini CDM wanatoa maneno ya kejeli na uzushi ni upumbavu? Jimbo lipo chini ya CDM tena tangu 2010 kuzidi majimbo mengi tu ya Arusha na Moshi ila mmewadharau sana wana Ukerewe. 2020 CDM yyte akiniomba kura nitamtemea mate kuonyesha dharau yangu kwake pia.
Sio Roho ngumu ni wabaguzi wangekufa wachaga hapo uone Kila mbunge , diwani ofisi zote za Chadema Tanzania zingetakiwa kuchangia rambirambi Na kutuma watu kwenye Mazishi Na viwango wangepangiwa.Lazima wafikishe.Wakerewe watajijua wao Na serikali.Uongozi nzima wa mkoa wa Mara ukiongozwa na RC Malina ulikuwepo pia kasoro Bulaya, Rioba, Matiko na Heche, yaani Chadema MNA roho ngumu sana!
Kuuliza ushiriki wa CDM ni upumbavu? Kuuliza kwa nini CDM wanatoa maneno ya kejeli na uzushi ni upumbavu? Jimbo lipo chini ya CDM tena tangu 2010 kuzidi majimbo mengi tu ya Arusha na Moshi ila mmewadharau sana wana Ukerewe. 2020 CDM yyte akiniomba kura nitamtemea mate kuonyesha dharau yangu kwake pia.
Wasubiri 2020 tutawanyoosha hawatapata hata kiti kimoja huku! Masikini Mbunge wao wa Ukerewe amekuwa mkiwa ila CCM ndiyo wapo mbele kumfariji lakini chama chake hata mbunge mmoja hajafika huko mmmhKwenye msiba wa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha walishiriki ila msiba wa wana Ukerewe Mwanza hauwahusu zaidi ya kutoa kejeli na uzushi, hawa jamaa ni wabaguzi sana.
Umeona ehh!Sio Roho ngumu ni wabaguzi wangekufa wachaga afe hapo uone Kila mbunge , diwani ofisi zote za Chadema zingeyakiwa kuchangia rambirambi Na kutuma watu kwenye Mazishi Na viwango wangepangiwa.Lazima wafikishe.Wakerewe watajijua wao Na serikali.
Si wamesema ya Mnara na Ukuta pia MkuuWanapo tuambia tutembee kifuwa mbele kwamba tupo pazuri..! Hii michango ni ya nini tena!!
DuuhNgoja nimalize kula kwanza nakujaView attachment 875486
Tena wanamlazimisha akane kauli zake....Masikini Mbunge wao wa Ukerewe amekuwa mkiwa ila CCM ndiyo wapo mbele kumfariji lakini chama chake hata mbunge mmoja hajafika huko mmmh
Duh jamaniWasubiri 2020 tutawanyosha hawatapata hata kiti kimoja huku! Masikini Mbunge wao wa Ukerewe amekuwa mkiwa ila CCM ndiyo wapo mbele kumfariji lakini chama chake hata mbunge mmoja hajafika huko mmmh
Hilo swali hawawezi kukujibu.Mbona hamumulze mzee Baba (mimi kutokwenda na huwa siendag tuu)
Ila usijinyonge tu ,ndugu yanguhii serikali hii, ngoja kwanza nifanye maamuzi magumu