Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Tunaunga mkono juhudi za Dr.magu tutarudi kesho kuokoa wahanga

Zimechotwa tril. 1.5 kuua upinzani lakini tumeshindwa kutuma kikosi maalum cha waokoaji pia tunakosa hela ya kunua spotlight ili kumulika eneo LA ajali ili tuwaokoa wapigakura,
 
Serikali hii kipaumbele chake ni kupambana na akina mbowe na chama chake, hayo mambo ya majanga hayana umuhimu kwetu ndio maana hata fungu la fedha za maafa hakuna
 
Kwa namna ilivyo tokea hii ajali ni aidha walijaza sana watu au mizigo au kulikuwa na hali ya hewa mbaya sana, ile wanaida dhoruba.
Huwezi pata majibu kwa hii nchi
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kesho tutarushwa mapema bbc
Acha kabisaaa ivi hatuna i kitengo cha wanamaji??? Au ndo zana zote zipo Dalesalama???

Jaman mtusameheee
[emoji117]Ziwa vikitoria lina mawimbiiiiii hayooo nyie achen[emoji3]

[emoji117]Kuna mamba haooooooo wee acha[emoji3]

[emoji117]Alafu kuna mashetani hahha[emoji3][emoji3]

[emoji117]alafu ili gizaaaaaa[emoji3][emoji3]
 
Aisee hii ni aibu!!
Hakuna uwezekano wa kuwa na taa kali ambazo zinafungwa kwenye helicopter au boti za uokoaji?
Hakuna tochi kali za kutumika underwater?

Ifike wakati sasa serikali iwekeze vifaa kazi kitengo cha uokoaji. Tulipaswa kujifunza kupitia MV Bukoba na ile ajali ya Nungwi.
 
Unasitisha uokoaji hadi kesho, hiyo kesho utakuwa unaenda kuokoa au kuokota maiti?
 
Kuna tetesi kuwa uokoaji umesitishwa hadi kesho asubuhi kisa giza limeingia.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza katangaza, hii ndio serikali yetu.
Dah...ungeshauri wafanye nini chief? Ukirejea vifaa na utaalam walio nao..[emoji41]
 
Pesa zote tumeelekeza kununua madiwani na wabunge wa chadema
 
Kuna tetesi kuwa uokoaji umesitishwa hadi kesho asubuhi kisa giza limeingia.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza katangaza, hii ndio serikali yetu.
Ni aibu sana hiyo.
Hukuna tochi maalumu za underwater kwa watu wa Navy au kwa jeshi la uokoaji?
Haiwezekani kutumia taa za kufunga kwenye vyombo vingine kwa mazingira ya nje?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nahis hatuna!labda kichaa ameomba msaada usik huu kwa madiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…