Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

KAFALA LIMESHAKAMILIKA...HATA MCHONGE MIDOMO, RAMBIRAMBI NI ZA MNARA, MAANA TUKUWAPA WAFIWA KAFALA LITATENGULIWA. ITAKUWA HASARA.
 
Wewe ni bure tu nani anakujali?
Tutakutana 2020 binafsi nitatumia nguvu yangu ndogo kuhakikisha familia yangu hakuna anayetoa kura CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo CCM kabla ya 2015 wamepewa funzo saivi zimehamia CDM , tukutane 2020.
 
Tutakutana 2020 binafsi nitatumia nguvu yangu ndogo kuhakikisha familia yangu hakuna anayetoa kura CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo CCM kabla ya 2015 wamepewa funzo saivi zimehamia CDM , tukutane 2020.
Yaani wewe kwa mamilioni ya cdm wewe ni sawa na pimbi tu
 
Oneni alichosema mwanazuoni huyu

=====
Je kuhuzunika na kutafakuri vyanzo vya ajali ni kutumia ajali ya MvNyerere kama mtaji wa kisiasa?Nani anaainisha nini ni mtaji wa kisiasa na nini ni huzuni/hasira/fikra za kawaida za wananchi wa kawaida? Hili ni janga la kitaifa.Taifa linahaki ya kuzungumzia.Ndio uzalendo wenyewe

 
Wakienda kuwazika wataambiwa wanafanya maandamano yasiyokua ya halali...

Chadema haipaswi kuonekana inakusanyika kwa namna yoyoyte ile...


Cc: mahondaw

Kwa wanafunzi wa Lucky Vincent Arusha ilikuwa lazima kushiriki ila kwa wana Ukerewe Mwanza mnasingizia mmekatazwa, hivi msiba una mwaliko au kibali? Majibu yenu ni ya dharau sana. 2020 si mbali na sisi tutajibu, CDM akiniomba kura yangu namtemea mate sawa man dharau mnazo onyesha saivi.
 
Mkuu, sijapingana na Mkuu wa Mkoa ila napingana na mtu kama wewe. Wewe ni Diver?
Mimi sio diver, ila nina uelewa wa masuala ya deep sea rescue/operations (Oil platforms etc). Ndio sababu nikakueleza huko awali kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa wala mihemko mkuu.
 
Tuliza munkari

Ova
 
Yaani wewe kwa mamilioni ya cdm wewe ni sawa na pimbi tu

Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
 
Kawatishe vichaa wenzako huko cdm siyo salama kwako
 
Kwahiyo alivyoongea na press na kutoa pole kwa familia na pia kuhusu kusimamisha zoezi sababu ya giza haikuwa pole sio. Mlitaka amtumie pole Jiwe lenu ndio muone ni pole. Magamba sikuhizi mmebaki kuokoteza maneno tu. Uwanja wa maelezo na kujidadavua kiuhalisia hamna.
Hadi Papa wa Vatican na Rais Putin wametuma salami za pole...... Lakini Mbowe wa Ufipa huko busy na maalim Seif...... Dash Chadema Mungu anawaona lakini!
 
Mimi sio diver, ila nina uelewa wa masuala ya deep sea rescue/operations (Oil platforms etc). Ndio nikakueleza huko awali kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa wala mihemko mkuu.
Ndugu yangu, nikuombe tuyaache haya, ungejua kuwa mimi siyo mwanasiasa, ungenielewa. Yote, tumeshaambiwa, first rescue divers walikuwa ni wale wavuvi wadogowadogo! Tuishie hapo.......
 

Ungeujua upande wangu upi hata usingeongea haya...

Hii issue iache kama ulivyo...


Cc: mahondaw
 
Magamba wanajitoa akili, wametekenywa kwa mkutano wa pole tu, sasa hivi wanakata viuno kwa mtekenyo , waache wahangaike nalo hilo.
Usijifanye kama hujui nini kinaendelea ndani ya nchi hii,
Hao viongozi wanawindwa kuliko maelezo,ndio mana walipotoa pole tu serikali ya wanyonge ikaibuka na kutangaza hali ya hatari
 
Ngoja..daraja la mto wami si bovu.?.na mabasi ya moshi na arusha yanapita kwa wingi..tutaona kama hawataenda ikitokea shida..
 
Hiyo familia yako dakika hii ukiwaambia kijani yako wanakushangaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…