Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Rais hakwenda baada ya kutokakanisani ameenda kunywa chai na traffic. Viongozi wa upinzani wakienda wanaambiwa wanaingiza soasa kwemye msiba. Umesahau ya Lucky Vicent waliwekwa ndani hadi viongozi wa dini. Kagera walikwenda akina Mbowe na Lowassa wakaambiwa wanapeleka siasa kwenye maafa wakati wamwleenda kufariji na kutoa misaada. Rais mwenyewe alikuwa zake Dar. Tatizo nchi imejengewa ubaguzi mkubwa awamu hii
 
Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa Chadema(@official_bavicha_taifa)
Mhe. Joseph Nkundi, ukiwa Mwakilishi wa wananchi wa Ukerewe tunakupa pole sana kwa kuondokewa na wananchi wako, ambao walikuchagua ili uwatetee lakini watawala wakaamua kuziba masikio yao kwa pambaa na kukupuuza kwa wito wako ulioutoa bungeni. Walitamani kusikia wanayopenda kwa masikio yao lakini sio kusikiliza mahitaji ya wananchi wako waliokutuma Bungeni. Usivunjike moyo endelea kupamabana naendelea kuwa sauti ya watu wa Ukerewe.
Hongera kwa kuwa mwakilishi sahihi
Pole sana kwa msiba mkubwa wa wapiga kura wako.
Pumzike kwa amani Walipoteza maisha wote.
Tunawaombea majeruhi kupona haraka.
Serikali hii inapaswa kuwajibika kwa kila uzembe ulipelekea hili kuanzia Waziri Mkuu.
Waziri hataki sisi kukosoa, tufungeni tu maana kama hamko tayari kuheshimu mawazo ya wawakilishi wa wananchi mnakuwa defensive bila aibu, tutasema mpaka muondoke siku moja, huu ni wajibu wetu, najua mawaziri wengi mnatamani kuwa katika nafasi tuliyopo sisi ili nanyi mkosoe maana hamko free.
Patrick Ole Sosopi
M/Kiti BAVICHA Taifa
 
Jiwe huwa hakanyagi sehemu ambazo serikali yake inalaumiwa. Hufika tu sehemu ambazo anaweza kujisifu na majigambo yake kurushwa live.
 
Funzo mtatoa kabisa sikupingi ila kwa kutumia kijani B 'aka' vyombo vya dola. Kama mnataka kutoa funzo na kujipambanua mnaweza kweli, tuweke tume huru na muache kutumia kijani b . Tutawanyoa ndevu bila dawa wala mashine mapema Sana. Boss zenu wanajuwa hilo ndio maana wamejipachika kijani b, full nguvu all the time.
 
Magamba wanajitoa akili, wametekenywa kwa mkutano wa pole tu, sasa hivi wanakata viuno kwa mtekenyo , waache wahangaike nalo hilo.
Akili zao wanazijua wenyewe ni waoga sana
 
View attachment 875561
Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa Chadema(@official_bavicha_taifa)
Mhe. Joseph Nkundi, ukiwa Mwakilishi wa wananchi wa Ukerewe tunakupa pole sana kwa kuondokewa na wananchi wako, ambao walikuchagua ili uwatetee lakini watawala wakaamua kuziba masikio yao kwa pambaa na kukupuuza kwa wito wako ulioutoa bungeni. Walitamani kusikia wanayopenda kwa masikio yao lakini sio kusikiliza mahitaji ya wananchi wako waliokutuma Bungeni. Usivunjike moyo endelea kupamabana naendelea kuwa sauti ya watu wa Ukerewe.
Hongera kwa kuwa mwakilishi sahihi
Pole sana kwa msiba mkubwa wa wapiga kura wako.
Pumzike kwa amani Walipoteza maisha wote.
Tunawaombea majeruhi kupona haraka.
Serikali hii inapaswa kuwajibika kwa kila uzembe ulipelekea hili kuanzia Waziri Mkuu.
Waziri hataki sisi kukosoa, tufungeni tu maana kama hamko tayari kuheshimu mawazo ya wawakilishi wa wananchi mnakuwa defensive bila aibu, tutasema mpaka muondoke siku moja, huu ni wajibu wetu, najua mawaziri wengi mnatamani kuwa katika nafasi tuliyopo sisi ili nanyi mkosoe maana hamko free.
Patrick Ole Sosopi
M/Kiti BAVICHA Taifa
 
Wananchi hswahitaji maziko ya kitaifa, wanahitaji ufumbuzi wa haraka wa vivuko, wanahitaji vivuko madhubuti. Kifupi usafiri ziwani Victoria ni ticking bombs. Kwa nini tusubiri hadi majanga yatokee ndio tu react? Why there is no proactive strategies?

Planning officers wawajibishwe.
 
Kwenye lii ajali ya kivuko siasa haikwepeki sababu imesababishwa na uzembe wa serikali iliyoko madarakani.
Ingekuwa janga la asili tungekubali ni makosa kuhusisha siasa.
RIP wahanga.
 
Mbona hazifanani na salaam za Pole? Salaam za pole zinaingiza kunangana?
 
Mkulu alisema mstafute kiki kwenye hili suara ila ccm wameona watumie fursa hii kwa viongoz kwenda huko
 
Mbona hazifanani na salaam za Pole? Salaam za pole zinaingiza kunangana?
 
Na hii ndio Siasa safi na ya ukomavu.....poleni sana wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…