johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zile bilioni 7 alizolalamikia CAG zingeweza kununulia taa badala ya kuzipeleka Ufisadini ufipa!Kumbe CHADEMA wamekula pesa ya kununua tochi za kumulikia waokoaji usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile bilioni 7 alizolalamikia CAG zingeweza kununulia taa badala ya kuzipeleka Ufisadini ufipa!Kumbe CHADEMA wamekula pesa ya kununua tochi za kumulikia waokoaji usiku
eeee bhana eeee !!!Matajiri tena? si ndio maadui wa baba yangu!
Unataka watoe ili mzitafune rambirambi..Nawaomba sana wakuu wangu kwa heshima na taadhima , Michango yenu bado ni muhimu mno , toeni kusaidia wahanga pamoja na familia za marehemu na Mungu atawalipa , natambua changamoto zilizotokea kwenye michango ya Tetemeko la Kagera lakini ni vema tukakubali kwamba YALIYOPITA SI NDWELE , tuendelee kuiamini serikali .
Natanguliza shukrani .
Inasikitisha sana!Hivi nani ni mshauri wa hawa watu?!
Jeshi la mtu mmoja hilo mkuuHivi nani ni mshauri wa hawa watu?!
Mkuu tindo huenda uko sahihi kiasi, lakini wananchi tunaona kila kinachoendelea ndani ya nchi yetu kuhusu vyama vya upinzani hasa chadema jinsi ya wanavyofanyiwa figisu.
Lakini kwa kuweka kumbukumbu sawa ni vyema wengeshiriki halafu wazuiwe Watanzania wengi tungekuwa nyuma yao na hansadi zingetunzwa.
Lakini kitendo cha Kumwacha mbunge husika peke yake mbele ya kundi la viongozi wa CCM ni usaliti mkubwa sana.
Kwa hili viongozi inabidi wajitafakari.
Daah........Chadema inaangamia kwa kukosa maarifa!Wangeenda mngesema wameenda kwenye siasa.Aibu maccm na manguo msibani aibu aibu hovyo kabisa.
Na mazwazwa wa MADARAKAInasikitisha sana!
Nchi wamepewa washamba...