Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua na ugeni muhimu sanaNilitamani kumuona chief of comforter
Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa nduguInavyojulikana ni kuwa rambirambi ni kwa ajili ya wafiwa ili kuwapunguzia machungu na kuwafuta machozi!
Haya mengine inabidi serikali iyabebe na kuyafanyia kazi!View attachment 875701
Kufa tule Rambirambi Mkuu.Bwana Mkubwa, naona umefungua kinywa mapema mno. Sidhani kama watu watachanga tena. Rambirambi huliwa na wafiwa. Laiti ungelisema zitawasomesha hata mayatima walioachwa. Ni mawazo yangu tu jamani mnisamehe kwa domo kaya hili
Ndio ujengwe kwa rambirambi?Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
Kwa maana hiyo mngemshauri na mbunge wenu akasusia maziko basi halafu tuone 2020 kama mtakuwa na hadhi hata ya UDP. Acha kujidanganya eti CDM ndo nini sijui. CHADEMA inaweza kuwa kama NCCR, CUF UDP au PPT MAENDELEO! mda utatupa majibu na tutakutana hapahapa na vijisababu vya kwenye vijiwe vya kahawa na maisha yataendelea kuwepo.
Kufa tule Rambirambi Mkuu.
Eti "Rambirambi huliwa na wafiwa" hiii kali ya karne
Sawa lakini hiyo huwa si kazi ya rambi rambi. Au nyie watu wa CCM hamjawahi kufiwa nini au pia mkifiwa huwa hampewi rambirambi?Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
Kwa hiyo kwasasa kipaumbele cha hiyo michango ni kujenga mnara??Mnara wa kumbukumbu ni sehemu ya heshima kwa marehemu na faraja kwa ndugu
Mlitaka rambi rambi ikanunulie pombe?Sawa lakini hiyo huwa si kazi ya rambi rambi. Au nyie watu wa CCM hamjawahi kufiwa nini au pia mkifiwa huwa hampewi rambirambi?
Umeisoma kauli ya PM?Kwa hiyo kwasasa kipaumbele cha hiyo michango ni kujenga mnara??