Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Naipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuwatengenezea wafiwa wanyonge majeneza yale ila Mungu anawaona sana!!
 
Nilitamani kumuona chief of comforter
Alikua na ugeni muhimu sana
Screenshot_20180923-210813.jpg
 
Vipi Kule kwenu? Tangu kivuko chenu kichukuliwe na mafuriko ccm mmefanya juhudi gani kujenga hata daraja la mbao ili ng'ombe zenu zisiendelee kuvunjika miguu?
 
Bwana Mkubwa, naona umefungua kinywa mapema mno. Sidhani kama watu watachanga tena. Rambirambi huliwa na wafiwa. Laiti ungelisema zitawasomesha hata mayatima walioachwa. Ni mawazo yangu tu jamani mnisamehe kwa domo kaya hili
Kufa tule Rambirambi Mkuu.
Eti "Rambirambi huliwa na wafiwa" hiii kali ya karne
 
Kwa maana hiyo mngemshauri na mbunge wenu akasusia maziko basi halafu tuone 2020 kama mtakuwa na hadhi hata ya UDP. Acha kujidanganya eti CDM ndo nini sijui. CHADEMA inaweza kuwa kama NCCR, CUF UDP au PPT MAENDELEO! mda utatupa majibu na tutakutana hapahapa na vijisababu vya kwenye vijiwe vya kahawa na maisha yataendelea kuwepo.

Kwani huu uwizi unaofanyika na kuvunja kanuni ili ccm watangazwe washindi ni kwa sababu cdm hawakuhudhuria misiba ya maeneo ya hizo chaguzi? Hakuna anayejali cdm kuwa kama hivyo vyama ulivyovitaja kwani hata hiyo ccm sio chama tena cha siasa bali ni kundi la tiss, jeshi na walaji wachache. Hao unaoita ni wanaccm ni bendera fuata upepo. Ccm ingekuwa na wanachama wa kujivunia isingetumia jeshi na tume ya uchaguzi ili watangazwe washindi. Kama wanaccm wanahuo ushawishi ni kipi kilichochangia michango ya maafa kuwa kiduchu hivyo kabla ya huu uhasishaji wa watu kutokuchangia huo mfumo wa serekali wa maafa? Mbunge hana haja ya kususia kwani hao ni wapiga kura wake, ila viongozi wengine hawakuwa na haja ya kuhudhuria hapo kwenye macamera ambayo yapo kiitikadi zaidi. Viongozi wa cdm wataenda kwa muda wao kwa wafia halisi na kutoa pole ya dhati ya kibinadamu. Hayo maziko ya jukwaani tumewaachia ccm kwa koti la serekali watakatishe huu wizi wa kura
 
Ni Watu wangapi wakipoteza Uhai kwa Ajali au Majanga Jiwe anaweza Kustuka na Kuungana na Wafiwa?
Maana 225 tumegundua ni Kidogo.
 
Back
Top Bottom