Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hii tabia ya serikali kutumia fedha za michango ya misaada na rambirambi kukamilisha majukumu yake itapunguza morali ya kuchangia wanaopatwa na majanga miongoni mwa wananchi
 
Wametoa pole au kejeli na uzushi, kwa hiyo Dar wako huru kuropoka ila kwenda msibani mwiko? Hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya ziwa wameshindwa? Au mmeshamtenga Mbunge wenu na wana Ukerewe kwa kukataa tu kushiriki kwenye uzushi wenu?
Kwani rambirambi zimefikia kiasi gani?
 
Wajidanganya bure. Hata hao CCM hawahitaji kupigiwa kura na wewe wala mwingine yeyote. Tume ya uchaguzi yatosha.
 
Nakuapia watachanga hawana ujanja ... watachanga kwa lazima watake wasitake watachangia ... Haki ya Mungu nakwambia tena watachanga kweli utaona ...

Vyovyote iwe kwa amri au kwa hiari watachanga tu ... na ukute vimemo vishaenda chezeaaa!! Mtoto wa Baba wewe atapita Nyumba kwa Nyumba na bakora ...

Washambiwa wote kina MEME NTAPARASISI, BAKORA LESA, JISEMEEE, YUSOPU! MAJI, ZAKA LALIA tena kwa kiwango haswaaa!!!

Sasa wagome waone kama hajaanzisha tena ile nanii ... "Tanzania Bila Madawa ya Kulevya Inawezekana"
 
"nataka waishi kama mashetani?" Unadhani ni wasahaulifu kiasi hicho..?
Huyu ndo kasababisha mpaka yanga tunahaha.
Kifupi mambo yalivyo-tight, sijuwi zitoke wapi, maana kasema tujiongeze, pa kujiongeza nako hakuleti ziada, watumie tu zile za kodi na faini barabarani..
 
Chadema wanatafuta namna ya kumchonganisha mbunge na serikali, kitendo cha kushiriki shughuli nzima ya leo huenda uongozi Taifa haujaridhika.
Usiwachonganishe wewe cdm na mbunge wao wacha wapambane na hali zao na kama mnamtaka huyo mbunge fikeni bei tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…