Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Haaaaaa. Umezibuka.
Hujasahau tuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaa. Umezibuka.
Ndio km dawa ya meno ni ghali bei haishikiki je.uchumi umekufa mfumuko wa bei uko juu.MAJANGA YOTE NCHINI CHANZO NI CCM.Mwisho hata kunuka mdomo utasema ccm inahusika.
Mbona na mimi nilikuwepo, unafikiri ulikuwepo peke yako?Kama hamjui chanzo cha kauli hizi ulizeni tuliokuwepo tuwaeleze...
Ukuta wa mererani ulijengwa chap kwa kauli ya bwana yule ila huu hataki hata kutoa kauli Ana ubaguzi huyu mzeeNani achangie hela zikajenge mnara?
Wanatumia kick ya kujenga mnara ili wapige hizo hela
Swali la kijinga sana !Yeye ndio alikatisha Tiketi?
Kwani rambirambi zimefikia kiasi gani?Wametoa pole au kejeli na uzushi, kwa hiyo Dar wako huru kuropoka ila kwenda msibani mwiko? Hata kutuma mwakilishi tu kiongozi wa kanda ya ziwa wameshindwa? Au mmeshamtenga Mbunge wenu na wana Ukerewe kwa kukataa tu kushiriki kwenye uzushi wenu?
Wajidanganya bure. Hata hao CCM hawahitaji kupigiwa kura na wewe wala mwingine yeyote. Tume ya uchaguzi yatosha.Sawa, mimi mmoja ni pimbi tu, ila nitahakikisha familia yangu haitoi kura kwa CDM. Hizi dharau na kejeli walikuwa nazo sana CCM zamani saivi CDM ndio mnaongoza kwa kejeli. Na yoyote atakayetoka CDM kuja kuniomba kura nitamtemea mate sawa na hizi dharau unazo onyesha.
BTW, hii ID ishawahi kuhusishwa John Mrema, kiongozi mwandamizi wa CDM, kama ni sahihi basi CDM mna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Kifupi mambo yalivyo-tight, sijuwi zitoke wapi, maana kasema tujiongeze, pa kujiongeza nako hakuleti ziada, watumie tu zile za kodi na faini barabarani.."nataka waishi kama mashetani?" Unadhani ni wasahaulifu kiasi hicho..?
Huyu ndo kasababisha mpaka yanga tunahaha.
Lawama zote ziende kwa waziri husika na ikibidi atumbuliwe maana kama angekuwa mkali wizarani kwake watu wangekuwa wanafuata taratibu walizo jiwekeaNa kuna watu walikuwa wanalipwa kuzuia uzembe huo lakini hakuna walichokuwa wanafanya!!
Huyu mbunge mdomo wake ndio umeleta janga
Atakamatwa huyu na mafisi
Usiwachonganishe wewe cdm na mbunge wao wacha wapambane na hali zao na kama mnamtaka huyo mbunge fikeni bei tuChadema wanatafuta namna ya kumchonganisha mbunge na serikali, kitendo cha kushiriki shughuli nzima ya leo huenda uongozi Taifa haujaridhika.
Ni jambo lakusikitisha kutumia tiktaka za kisiasa katika majanga badala ya kujenga unabomoa