jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Kukamata mitambo ya gongo zinatumika helikopta!jogi, UWE MKWELI KWA NAFSI YAKO; AJALI ILITOKEA SAA 8; KAMATI YA ULINZI NA USALAMA ILIKUWA ENEO LA TUKIO SAA 11 KUTOKEA MWANZA ; NA MWANZA NA UKARA SIYO SAFARI YA MAKAMASI KUTOKA PUANI KWAKO KWENDA MDOMONI MWAKO
Kamati ya ulinzi inatumia mtumbwi kufika eneo la ajali ikae kutoa maamuzi ya kuomba msaada!
Maji mnayataka yapige pause kusubiri likamati lenu la kisiasa linalotumika kudhibiti upinzani?
Hii kamati ingeweza ikafanya kikao kwa Skype ikapitisha angalau azimio la kuomba msaada haraka.
Tungeokoa maisha.
Kichwacho kimejazwa makamasi usitegemee kuwaza kitu kizuri isipokuwa makamasi.