Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

jogi, UWE MKWELI KWA NAFSI YAKO; AJALI ILITOKEA SAA 8; KAMATI YA ULINZI NA USALAMA ILIKUWA ENEO LA TUKIO SAA 11 KUTOKEA MWANZA ; NA MWANZA NA UKARA SIYO SAFARI YA MAKAMASI KUTOKA PUANI KWAKO KWENDA MDOMONI MWAKO
Kukamata mitambo ya gongo zinatumika helikopta!
Kamati ya ulinzi inatumia mtumbwi kufika eneo la ajali ikae kutoa maamuzi ya kuomba msaada!
Maji mnayataka yapige pause kusubiri likamati lenu la kisiasa linalotumika kudhibiti upinzani?

Hii kamati ingeweza ikafanya kikao kwa Skype ikapitisha angalau azimio la kuomba msaada haraka.
Tungeokoa maisha.
Kichwacho kimejazwa makamasi usitegemee kuwaza kitu kizuri isipokuwa makamasi.
 
Hakijafika chini kikipasuliwa ni sawa na sufuria juu ya MAJI kisha litoboe
Kilifika chini mkuu wa majeshi amesema hapo



Sasa kama ni hivyo swali langu lile vipi kingepasuliwa kutoka juu huoni ingesaidia hapa tunaelimishana tu sio kulaumiana kazi waliyofanya ni kubwa kutokana na ajali yenyewe ilivyokuwa wanastahiki pongezi
 
Nafikiri umemsikia hata waziri mkuu anasema atabakia hapo ukara mpaka waone mwili wa mwisho
Hii haitasidia hats akihamia hapo.Kinachotakiwa waliohusika wajiuzulu bila ya kujali vyeo vyao.Watu wanamavyeo Brigadia Generali Injinia yaani nchi za wenzetu huyo mtu si wa kawaida halafu wanajeshi hawajui hata kuogelea??
 
Ila viongozi wakuu wa chama chetu tawala niliwaona. Hata was vya vingine vya siasa walikuwapo. Walikuwapo. Wa CDM tu ndio wamekacha.

Nilimwona katibu mkuu wa chama na wasaidizi wake.
Nilimwona mwenyekiti na makamu wake wawili.
Hata wale viongozi wa kiserikali hawakufika kwa nafasi zao zs kiserikali Bali chama.
Only cdm wamekacha, kwani huu msiba ulitakiwa kuwa ni maonyesho ya kiitikadi sio kufariji na kuheshimu watu.
 
Sitashangaa nikisikia mbunge Wa Ukerewe anahamia CCM!
Yaani chadema wameonyesha dharau ya hali ya juu.Mazishi ya mbwa wanahudhuria na anazikwa kwa heshima za kichama lakini mazishi ya watu zaidi ya mia mbili hawaendi ona mbwa wa Mbunge Nassari alivyozikwa nao
1537761540680.png
 
Kuna miili itakuwa imenasa kwenye magari na ma mizigo itapatikana kivuko kikinyanyuliwa ni suala la muda tu... yaani serikali ishabalance eti kilibeba abiria 265 waliokufa 224,waliopona 41 kwa tuliokulia ziwani na kwenye ajali km hiyo bado ni mapema kuhukumu lazima kuna miili zaidi imenasa chini
 
Ila mbunge aliwahi kutahadharishs bungeni na jambo hilo likapuuziwaView attachment 875831
weka na clip ya baada ya mbunge kutoa hiyo hoja kilichofanyika ni nini, yani hata wewe GT, bdo unarudia mle mle ambpo unashindia mtandaoni kila siku na majibu unayo kuwa kilikarabatiwa na kikafungiwa injini 2 mwezi wa saba...na pili kivuko hakikuzama kwa xbbu ya ubovu, bali kilikuwa overloaded hata kingekuwa kipya cha siku moja, kwa style hii kingezama tu, tuache kujitoa ufahamu muda wte kwa kuweka siasa hata kile kilichoko wazi.
 
Wewe pimbi hebu ingia you tube msikilize waziri wa ujenzi alipokuwa akisoma hotubu fupi na tathmini ya zoezi zima la uokoaji.
Serikali imesema hao 265 ndio miili iliyookolewa na kuopolewa, na uokoji/uopoji unaendelea mpaka miili yote ipatikane.

Sasa huyo mbunge ana Listi nzima ya waliokuwemo kwenye hicho kivuko.

Naona Chadema mmeanza kumlisha maneno mbunge kisa kashiriki shughuli nzima ya leo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Usemayo ni ya kweli
Hii haitasidia hats akihamia hapo.Kinachotakiwa waliohusika wajiuzulu bila ya kujali vyeo vyao.Watu wanamavyeo Brigadia Generali Injinia yaani nchi za wenzetu huyo mtu si wa kawaida halafu wanajeshi hawajui hata kuogelea??
 
Back
Top Bottom