Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Wakati mwingine sisi raia ni shida unaona kama chimbo cha usafiri shaji kimejaa lkn bado tunakazania kupanda.....
Hao wa husika wa vyombo hivyo wanachoangalia ni kupiga hela tu....
Wakati umefika sisi raia tubadilike tujiongeze maana serikali yetu hawako makini kwenye usimamizi wao....
Watz tuache mambo ya kulundikana kama viroba vya mahindi kwenye vyombo vya usafiri...

Ova
 
Hakuna binadamu yoyote asiyependa kufarijiwa, CDM wangeenda kuwafariji wana Ukerewa, wafiwa, wapiga kura wao. Jimbo la Ukerewe lipo CDM tangu 2010, kweli CDM wameshindwa kuwapa heshima au hata faraja tu wana Ukerewe?
wangekamatwa kuwa wanaingiza siasa kwenye misiba tumeshazoea sasa!

Msiba mkubwa huu ninhetegemea Hoja yako inge rely Kwa muhusika Mkuu kutokwenda Kuhani msiba sio CHADEMA! Propaganda at its lowest level!!
 
Kwahiyo mnawakataa wapiga kura wenu?
 
Pole sana mwanafunzi

Ukute alikwenda kutafuta watoto wenye chura ila ndo hivyo katika kutafuta maisha poleni sana
 
Great thinker tunaemwamini ni kichwa JF anapoongea bila tafiti kamili huwa nauzika.

Ubongo wake unajaa uchama hata katika
jambo la utaifa huo ni upuuzi katika wapuuzi.

Wanausalama wa Bandari wana cha kujibu ni lazima wajibu.

Poleni wafiwa wote.

Mungu Mlezi wetu uwapokee ndugu zetu kwa upendo.
 
asante
 
John pombe magufuru
Raisi jamhuri ya muungano wa Tanzania
ameweza kwa haraka sana kuwatumbua wahusika ila kwa bashitte ni kimbembe ukimgusia bashittekuhusu majanga yake ya kufoji vyeti,, kuhujumu uchumi kuleta makontena kisanii huwa anatetemeke
 
Kuna binadamu anaweza ishi chini ya maji bila vifaa vyovyote vya upumuaji?Kivuko kilipinduka saa 8,unafikir masaa manne mbele bado kulikua na kitu kinachoitwa UOKOAJI?Au zoezi lilikua UOPOAJI?
hivi wewe unaakili kweli? mtu wa mwisho kuokolewa akiwa hai alipatikana siku ya ngapi? hivi unajua tz hii kuna watu walikaa chini ya ardhi kwa siku ngapi bila ya kuwa na mahitaji muhimu?
 
Viongozi wakuu wa Taifa wamekuwa wapole mno kwenye hii ajali,tofauti kabisa na tetemeko la Kagera. Hapa naangalia PM akipokea michango mbalimbali,CCM wametoa 10mil cash,Mh H.Polepole aliwasilisha. Amepewa J.Mhagama,(Mb), naye amempa RC wa Mwanza,ambaye naye amempa RAS. Wanaonekana wanyenyekevu mno mbele ya kamera.
 
wangekamatwa kuwa wanaingiza siasa kwenye misiba tumeshazoea sasa!

Msiba mkubwa huu ninhetegemea Hoja yako inge rely Kwa muhusika Mkuu kutokwenda Kuhani msiba sio CHADEMA! Propaganda at its lowest level!!
Muhusika mkuu,waziri mkuu unajua ni nani katka hii NCHI? yawezekana bado hujajua wadhifa wa WAZIRI MKUU ukishajua utajua kwann Huyo unaetaka aende hajaenda.
 
hivi wewe unaakili kweli? mtu wa mwisho kuokolewa akiwa hai alipatikana siku ya ngapi? hivi unajua tz hii kuna watu walikaa chini ya ardhi kwa siku ngapi bila ya kuwa na mahitaji muhimu?
Nina akili nafikiri zaidi ya wewe unayehoji akili yangu.Huyo aliyepatikana siku ya tatu inasemekana alikua kwenye air pocket. Hiki ni chumba maalum Injinia hukaa huko,licha ya maswali mengi lkn tuseme ni kweli alikua huko.Tuje kwenye fact sasa,ukiachana na huyo injinia ni nani mwingine anaweza baki hai zaid ya masaa mawili chini ya maji na atakua amejificha sehem gan ya kumwezesha yy kusurvive chini ya maji zaid ya saa nzima?NB:Elezea mazingira ya kivuko yalivyo huku ukihusisha na ajali yenyewe. Ukijibu haya nafikiri hutahoji tena akili yangu
 
kama wanajua kuna vyumba maalum mtu anaweza kukaa huko kwanini wasitishe zoezi? huoni walikuwa warisk maisha ya huyo aliyekuwa kwenye hicho chumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…