Sio rahisi. Waziri mwenye dhamana alikuwa mfanyakazi wa cheo cha juu wizara ya ujenzi hakuna shaka atalindwa. Nikukumbushe tu 1996 kipindi cha MV Bukoba kinazama tulikuwa bado angali vijana. Ni mapenzi ya Mungu tu kushuhudia leo tena tunawapoteza ndugu zetu kwa uzembeKuanzia kesho ukaguzi wa vyombo vya majini nchi nzima na kuna uwezekano wengine kufutiwa leseni.
Ingekua ya mtu binafsi Mmiliki angewekwa ndani kwahiyo nashauri na hili Waziri mwenye Dhamana awekwe mahabusu wakati uchunguzi ukiendelea.
Hakuna hela ya majanga na maafa. Ukiwauliza utajibiwa utumboHawa watu wangekuwamo wao wangesitisha uokozi kwa sababu za kisenge???.
Haya mambo yanakera kweli. Hivi kweli boti zimeshindwa kupakiza generator za nguvu kukabili hali??
Tunakusanya kodi Kwa kasi ya ajabu ...Kama walijaza kupita kiasi hiyo ni tamaa ya hela hata kama demand ni kubwa lakini tamaa ni mbaya sana
Mungu awanusuru kwa kweli
Sorry mkuu hich kivukoo kulikuwa na watu wangap... Kuna sehemu nmesoma nmeona n 500 vp Kuna ukwel juu ya hilo. . Afu had zoezi linactishwa inamaana watu waliopatikana+ miili n 81 ko tuna watu 390+ hatujui walipo...,au Kuna wengine wameogelea had nchi kavu?#UPDATES:Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere limesitishwa kutokana na giza, na litaendelea kesho alfajiri.ambapo hadi sasa waliyookolewa wakiwa hai ni 37, waliokufa 44.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella.
Hivi hii si aibu hivi kwa dunia ya sasa unaweza kutoa kauli za kijinga namna hii yaani watu walale kwenye maji hadi asubuhi hii ni nchi au ni genge la shetani
Huyu bora asiombe tuuTaarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya uhamasishaji na chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Hassan Bomboko inasema Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Kheri Denis James (MCC) amesikitishwa na kuguswa na ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Victoria iliyotokea leo ambapo wapo waliojeruhiwa na wengine kufariki dunia hivyo ametoa salamu za pole kwa wote walioguswa na kuathirika na tukio hili la kuhuzunisha na kusikitisha.
Taarifa hiyo imeendelea kusema Ndugu Kheri anawaombea majeruhi kupata nafuu, ndugu na wote waliopoteza jamaa zao wawe na subira katika kipindi hiki kigumu. View attachment 872725
Mkuu ruban.Huyo rubani aliruhusu vipi watu na mizigo kuingia kupita kiasi ? Imagine mama yake angekuwepo pale halafu anaambiwa zoezi la uokozi limesitishwa till tomorrow.
NimeelewaSasa unashangaa nini kutokujua idadi ya watu .......kivuko cha hapo kigamboni geti likifunguliwa kila mtu spidi ndani ....kila mtu anawahi anapokwenda .....sawa na mwendo kasi utahesabu abiria wangapi wapo kwenye gari ..... ni ajari kivuko kime overload basi
Na tunakwisha kwa kasi ya ajabuTunakusanya kodi Kwa kasi ya ajabu ...
Mkuu tatizo ni chombo kimebinuka wengine wakiwa ndani wamekaa kwenye siti na wengine imelalia kwao kikawafunika. Hapo wale wliorushwa majini kutoka upande ambao hikubinukia ndo hao unaona wanaelea ila wengine wote wamefunikwa.Kama hapazidi mita 100 wakara wenzangu inakuaje washindwe kujiokoa?....maana enzi zetu hizo mita mia ilikua ni kichanga cha pili au cha tatu na ukiishia hapo nikwamba hujui kuogelea
Kiliyumba sababu ya kona mzigo ukayumba upande mmoja.Hiki kivuko ni kidogo, wapeleke vivuko vikubwa kama mv.Sengerema , hako lazima kayumbe kwenye dhoruba
Na huu ndo upuuzi wa kwenye haya mameli na mamitumbwi ya viktoria....eti maboya Hua yamefungilizwa kwenye chombo...ndo upuuzi wao. Hua wanaona kama usumbufu kuyapanga wakiyafungua na kuwavika watu kabla ya safari na kuyarudisha tena kama wakifika salama.Kwanini watu wafe?? Wakati kuna maboyance?
Mungu awapumzishe wote waliopoteza maisha yao.
Mtu anahesabika amekufa mpaka pale anapoopolewa na kuonekana kafa. Watu ambao bado hawajaopolewa si rahisi kuwaunganisha kwenye idadi ya watu waliokufa eti kwasababu tu hawajaokolewa pamoja na kwmba kunakua na uwezekano mkubwa kwmba watakua wamekufa na ndio maana wnasema "...idadi ya waliokufa inaweza kuongezeka..."Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
Meli inauhusiano gani na injini na kupinduka kunauhusiano gani na meli?Engine ha
Engine haina uhusiano wowote na kuzama au kupinduka kwa meli
Kwhyo ni wangap mkuu? Si kazi inaendelea!Kila sehemu mnataka kuleta siasa, Watu sita sio kweli
Ameshakuwa rais, usiwe na wasiwasi [emoji23]!
!
Niliona Picha Kikiwa Juu Chini Chini Juu, Nikamuwaza Yule Mpumbavu Aliitoboaga MV Bukoba Ikazama Mazima. Wamzuie Akijitokeza Tena.
Anaedhibiti usafirishaji majini na nchi kavu ni Mbowe sio?Madhara yake ndio hayo,alafu tunaanza kuilaumu serikali na