Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasikia Serikali haikuleta hii ajali.
Hivi RC, Msimamizi wa bandari Mwanza, RPC, DC, Kiongozi wa Zimamoto leo walipata usingizi kweli? huku roho za Watanzania zikiteketea ziwani? I cant imagine uongozi wa dizaini hii, na utasikia hakuna atakayewajibika.Nilisema mapema kabisa.
''Utasikia Serikali haikuleta hii ajali"
RC kadhihirisha hii kauli kwa matendo na maamuzi yake
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
Inasemekana kivuko cha watu 100 kilikuwa na watu zaidi ya 400,hakuna takwimu sahihi kwa chombo nyeti kinachobeba maisha ya watu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana
Kwani ajali imetokea saa ngapi? Ilishindikana kufanya maandalizi ya uokozi hadi usiku? Kwa sababu si wote wangeweza kuokoa hivyo wangeshughulikia hayo maandalizi. Au walikuwa puzzled baada ya kusikia ajali imetokea.Nilisema mapema kabisa.
''Utasikia Serikali haikuleta hii ajali"
RC kadhihirisha hii kauli kwa matendo na maamuzi yake
😀😀😀😀😀Kwani ajali imetokea saa ngapi? Ilishindikana kufanya maandalizi ya uokozi hadi usiku? Kwa sababu si wote wangeweza kuokoa hivyo wangeshughulikia hayo maandalizi. Au walikuwa puzzled baada ya kusikia ajali imetokea.
Ajali imetokea mchana majira ya saa 8Kwani ajali imetokea saa ngapi? Ilishindikana kufanya maandalizi ya uokozi hadi usiku? Kwa sababu si wote wangeweza kuokoa hivyo wangeshughulikia hayo maandalizi. Au walikuwa puzzled baada ya kusikia ajali imetokea.
Mbona muda wa kufanya maandalizi ulikuwepo wa kutosha sana. Au walikuwa wanashangaa watu wakiteketea badala ya kupanga mikakati ya uokozi. Inasikitisha sanaAjali imetokea mchana majira ya saa 8
Hii nchi ya ajabu sanaAjali imetokea mchana majira ya saa 8