faceoff007
Member
- Jun 3, 2018
- 62
- 141
Madhara ya sheria mpya ya takwimu... Tusubiri wenye mkono wao waje na takwimuInasemekana kivuko cha watu 100 kilikuwa na watu zaidi ya 400,hakuna takwimu sahihi kwa chombo nyeti kinachobeba maisha ya watu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana