Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kwa hiyo ulitaka waokoaji wafe kisa tu wanaopoa maiti usiku kucha? Je wewe una uwezo wa kukaa kwenye maji zaidi ya nusu saa ukiwa hai?
 
Lakin ndo mnaowapenda hao na chama chao tukisema tuwatoe mnasema sisi tumezoea kulalamika...kile kivuko mbunge wake alishakilalamikia lakin kwakuwa waupinzani wakampuuza leo mnatuma rambirambi

Tuwekee nukuu ya huyo Mbunge
 
Waliingia na vipimo gani kwa mfano? Mbona unajitoa ufahamu kirahisi hivi? Huo muda wa kupima kila waliyemuona ndani ya meli na kujiridhisha amekufa ungekuwa mfupi kiasi hicho? Walioingia kwenye kivuko ni waokoaji/wazamiaji au Madaktari?
 
Ila watanzania ni wapumbavu Sana Wote mngekua Kama mm tungeshamchoa Huyo k hapo magogoni na tungemtatua Marinda Nina hasira nae sana
Usipopigwa ban na hii kauli yako basi nitaamini kabisa wakina Maxence Melo wote ni chadema. Hii sio kauli ya kuitoa wewe mtoto wa kiume mwwnye akili na utashi wako. Pole sana mkuu.
 
Daah afu linatokea lijitu ambalo vivu la kufikia na kusema wanaoishi Dsm wanapoteza muda wakati maisha ya mikoani yana risk sn hasa inapotokea maafa makubwa
jaman mmemuelewa huyu?
 
Engine zilifungwa mwezi mmoja uliopita mpya kabisa
 
Umenena mkuu.
 
Yaliyotokea wakati wa tetemeko Kagera mwanzo mwisho tunayafahamu, tuko makini juu ya hili pia ili tushushe mzani wetu
 
Usipopigwa ban na hii kauli yako basi nitaamini kabisa wakina Maxence Melo wote ni chadema. Hii sio kauli ya kuitoa wewe mtoto wa kiume mwwnye akili na utashi wako. Pole sana mkuu.
Kila sehemu mnataka kuzuia Watu kusema bungeni ndugai mtaani Siro hujarizika na huku unataka nipigwe ban ili mchangie Ccm peke yenu matako ww peleka ulimbukeni huko lumumba kasifie huko achana na chadema
 
Waliingia na vipimo gani kwa mfano? Mbona unajitoa ufahamu kirahisi hivi? Huo muda wa kupima kila waliyemuona ndani ya meli na kujiridhisha amekufa ungekuwa mfupi kiasi hicho? Walioingia kwenye kivuko ni waokoaji/wazamiaji au Madaktari?
layman katika ubora wake
 

Tuko busy tunanunua ndege new brand kabisa, tunajenga standard gauge, hivi vivuko vyote alinunua huyo huyo rais wenu, acha vipinduke tu, tuna vipaumbele vingi lkn sio vivuko
 
Nilitegemea kuona life jackets nyingi sana zimezagaa hapo ziwani baada chombo kupinduka, nilitegemea kuona pia hao waokoaji wakiwa wamevaa life jackets na proper gears for diving lakini picha zote ninazoona ni za wavuvi na raia waliojitolea wasio na uzoefu wala ujuzi wa uokozi, hakuna hata picha moja niliyoona special rescue boats na team yake zaidi ya hizo boat za wakerewe na wakala, JIBU NI KWAMBA ENEO HILO HALINA RESCUE TEAM,DIVERS WALA VIFAA MAALUMU VYA UOKOZI, wakwapi coast guard ambao wanatakiwa wawe na speed boats na in patrol ziwani kiasi cha kuyaona au kusikia matukio kama haya kwa haraka na kurespond?

TUJIPANGE..
 

Haya ni maajabu sana, kwa hiyo mkata tiketi naye alikuwa ndani na kaefd machine yake. Huku nchi kavu hakuna data iliyobaki?? Kweli tunaishi stone ages..
 
WALIKUWA NA IDADI SAHIHI YA WALIOKUWEPO KWENYE PANTONI?
MPAKA WASEME HIVYO.
 
Kivuko kilishatengenezwa Boss. Hakina hata mwezi toka kitoke matengenezo. Hivyo tatizo sio mechanics za kivuko.
Mkuu kuzima kwa Engine kunaashiria kivuko kilikua kibovu na ndio maana kikiwa kimezima kinapoteza balance kupinduka hiyo idadi ya watu ndio walikua wanabeba kila siku ila ubovu wa machine umefanya ipinduke kwa navyojua matengenezo ya vivuko au meli kubwa yawe kama kupigwa X ray na kucheki balance ya line sidhani kama tuna dry dock ya kufanya haya yote ndio maana nasema hicho kivuko kilikua kibovu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…