Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hii ni aibu?! Kuna generator za kuwekwa kwenye mashua zikatoa mwanga. Ni matokeo ya wanasisa kusimamia operations kama walivyo amuru kuitoboa MV bukoba .
 
toooba mkuu wa wilaya kazi hana hapa, kataja hiyo idadi
 
mkuu samahani sana kama utakuwa umenielewa vibaya.... hizi uzi mods wameziunganisha mimi hyo coment sikutoa kwenye uzi huu niliitoa kwenye uzi mwingine kabisa ambao hayo maelezo yangu yalikuwa yanaingia
ok
 
Viongozi wa nchi wako busy na kununua madiwani na wabunge ili iwe nchi ya viwanda, huku watu wanakufa kwa kukosa huduma. Bajeti za kurudia uchaguzi zingenunua vivuko hao watu wasingekufa.
 
Kivuko kinaendshwa na kusimamiwa na wataalamu au chokoraa! Mbona kwenye ndege abiria wanaelekezwa wakati wa kupanda na kushuka? Kwenye meli mnawaacha abiria wajiswage kama ng'ombe zizini?
 
nimeongea na watu wa ukara hii habari ni ya ukweli na hali ni mbaya sana kwani watu walikuwa wanatoka gulioni bugorora na kurudi ukara kisiwani, hivyo meli ilikuwa imeshona sana, waliopatikana ni wachache sana
Hapo lazima stealing from the dead....itokee
 
Ingekua nchi za wenzetu hii ajali ingeondoka na kiongozi ,lakini kwakua tupo Tanzania basi tutaambiwa tuchange rambirambi
 
Huu ni msiba mkubwa sana na nafikiri ktk awamu hii ndo wa kwanza mkubwa kabisa! Nategemea kumuona Rais wetu mpendwa na makamu wake na ikiwezekana na waziri husika wawe Mwanza kujionea wenyewe ikiwemo kuwawajibisha wahusika wote ikiwezekana na mkuu wa Mkoa kuwekwa pembeni!
 
Hahahaaaa, mkuu vitu vingine vinatia hasira sana, hiyo post ya kwanza nimeandika kwa hasira nikiwa na maana ya kinyume chake.
Hahahaha Nimekupata mkuu! Hii serikali haina namna ya kujiepusha na lawama, viongozi kila wakati wanaharibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…